Hizo taarifa umezipata wapi Mkuu., hatuna majeruhi so far., Benzema Leo anaweza akaanza ama akapatiwa muda baadae., Mendy na yeye amerudi, anaweza pia kuanza leo.
#Hasta El final
#VamooosReal
Hizo taarifa umezipata wapi Mkuu., hatuna majeruhi so far., Benzema Leo anaweza akaanza ama akapatiwa muda baadae., Mendy na yeye amerudi, anaweza pia kuanza leo.
#Hasta El final
#VamooosReal
Point ya msingi ni kutumia nafasi tutakazopata vizuri., game ya leo wala hatuhitaji kutawala kwenye kiungo, hii game tunaenda kupiga counter., ila hata hivyo hawana viungo technical sana zaidi ya Marco Veratti wa kutusumbua kihivyo quality yao ipo kwenye forward wao.,
Hello Madridistas., hapo juu ni Line-up yetu kwa Leo., Mendy na Benzema wamerudi kwenye kikosi baada ya kukaa nje wakijiuguza. Hopefully tutakuwa na game nzuri sana.,
#VamooosReal
Kama kawaida kipindi cha kwanza siku hizi kimekuwa kama hulka, team haieleweki inacheza nini., ila sio mbaya tumewaachia PSG wacheze wanayotaka., ila bahati mbaya na sie bado hatujatulia kwenye kufanya transition hopefully Ancelotti ataongea na vijana wake.,
Amepotea kiukweli, ninaona ni afadhali aingie Valverde kwanza ni mzuri kukaba na pili ni mzuri pia kwenye kufanya transition., so ikitokea mishe hapo ya kupiga counter attack basi kijana huwa anafunguka haswa, kuna haja hiyo ya kuwa na mtu wa aina hiyo uwanjani.