Team zinaenda mapumziko huku Getafe wakiongoza, acha tusubiri tuone Ancelotti ataweka vp mipango yake, ila so far hatupo poa sana kwenye kushambulia,, upande wa kulia Asensio ametulia sana, sijui vijana bado wapo likizo ama ni vipi
Tuna kila sababu ya kusajili beki wa uhakika wa kulia, Carvajal amekuwa na majeraha ya mara kwa mara sana, ndio hapo unaona wanaingia akina Vasquez na huyo Peter. Dogo bado sana kiukweli kuchezea Real a madrid, afadhali Ancelotti angempa nafasi Arribas., huyu Dogo bado sana.