Dogo amekuwa, sikufanikiwa kuangalia game, Leo baada jioni itabid niangalie marudio niwe na amani kiukweli, kuifunga Valencia home kwao ni shughuli pevu.
Acha kabisa.. Ilikua shughuli ngumu sana. Jamaa walitubana haswa. Walipotupiga lile moja nikajua ngoma imelala. Ila kama kawaida yetu, mpira unaisha pale filimbi inapolia
Kijana aliumia hata kabla ya msimu uliopita haujaisha, pre season yote alikuwa kwenye program maalumu ya matibabu, baadae ikaonekana kama yupo poa, game kabla Celta Vigo akapata tena shida, mpaka sasa haijajulikana atarudi uwanjani lini,
Our starting XI vs Villarreal ; Real Madrid's starting XI: Thibaut Courtois; Nacho Fernandez, Eder Militao, David Alaba, Fede Valverde; Casemiro, Luka Modric, Marco Asensio; Rodrygo, Karim Benzema, Vinicius Junior