Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,372
Mpaka unaona Leonardo amepata moto hivyo basi jua hapo hakuna mtu atayesign mkataba mpya, mpaka hapo mambo yameshaharibika., ni kama jamaa ameshindwa kumtaja Perez kuwa yupo nyuma ya hii ishu ya Mbape, Ila Perez ni mafia sana yule Mzee.,Hii press nimeimaliza kuisoma muda huu huku telegram.
Ngoja tuone PSG kama watafanikiwa kumuongezea mkataba
Ila Perez ni mafia sana yule Mzee.,
Bado ipo kwenye mipango, jamaa anajipanga upya, zimebaki team tatu, Real, Barca na Juve, Mzee anakuambia anaweza mambo Sawa aitambulishe upya.Hahahaha.
Ile ligi mpya sijui imeishia wapi, mzee anachachafya sana
Haijaisha, juzi kati tu kulikua na haya maamuziHahahaha.
Ile ligi mpya sijui imeishia wapi, mzee anachachafya sana
Ngoja tuone mzee Perez kama atatuachi hii legacyHaijaisha, juzi kati tu kulikua na haya maamuzi View attachment 1909709
Unaota wewe hizo kazi za back to back zina wenyewe wewe subiri miaka 10 mingine hukoNyie kwa sasa jengeni timu sisi tutaendelea kubeba uefa back to back hadi hapo mtakapo leta ushindani mwingine mpya..
CFC
Full visasi...ni wakati wa kumfumua shakter nje ndani na sisi,inter
Mtapigwa mchakae ..unayijua Chelsea?? Huyiogopi??Unaota wewe hizo kazi za back to back zina wenyewe wewe subiri miaka 10 mingine huko
Hahaha, Mimi ninaona tukiwafumua wote, na kwa hulka ya Carletto huwa hana masihara kwenye game yoyote, yeye anakuwekea full team, msimu huu kumfua mtu goli 5 ama 6 itakuwa jambo la kawaida sana.Full visasi...ni wakati wa kumfumua shakter nje ndani na sisi,inter
Huyu Mzee ni mafia sana kiukweli, wameruka ruka wee mwisho wameelewa. Kuna report kuwa leo baadae club inaweza kutangaza ujio wa Mbappé.
Hata wasishinde kikombe kingine, ila wajitahidi hata waingie final mara mbili mfululizo ndio tunaweza kubishana nao, ila kwasasa bado wapo Chekechea wakati wenzao tunatafuta shahada ya piliUnaota wewe hizo kazi za back to back zina wenyewe wewe subiri miaka 10 mingine huko
Achana nae huyo.. Hawa madogo waliofika puberty juzi ni vurugu tu.. Vi comment vyake vimejaa utoto mwingi.Hatuna shida na utaalamu wako, una hangaika na club isiyo kua size yako
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Bado, mazungumzo yanaendelea, ila ni kama PSG wamegomea hii offer ya juzi, acha tuone weekend hii watafikia hatua gani.Mbappe vp bado kimya