Habari zipo nyingi sana Mkuu, majukumu ya kila be siku yanatufanya mara nyingine kuingia huku mara kwa mara, Leo saa mbili usiku saa za Africa Mashariki tutakuwa tunacheza na Rangers game ya kirafiki
Real Madrid informed that the French striker tested positive before returning to Spain from Lyon. He will remain in France until he recovers from the virus
Perez ana target zake akiwakosa hao basi tusahau kuhusu mchezaji mpya, labda hii ya kuondoka kwa Ramos NA Varane anaweza akasajili CB. mpya japokuwa Ancelotti kuna Dogo mmoja pale Castilla anataka amjumuishe kwenye kikosi, acha mpaka mwisho wa usajili ufike hapo ndipo tutaweza kujua ukweli.
Bado ninaona Ancelotti ni muumini wa 4 3 3, acha tuone kama kipindi cha pili atabadili formation ama itakuwa vipi.
Nilichopenda ni kumchezesha Rodrygo kwenye wing ya kushoto, Dogo akitokea upande huo huwa anacheza vizuri sana, h