Really...
FuThe 33-year-old has been punished by Deschamps for his role in the Mathieu Valbuena saga, while Benzema's comments on the France boss when speaking to MARCA did little to calm the tensions between the pair.
Yet, according to L'Equipe and Le Parisien, and confirmed by MARCA, Deschamps has been thinking about the situation for some time and is ready to include Benzema in the squad for Euro 2020, one day after the striker was named the best French player playing outside of France.
Bado ana Homa zake za vipindi, amerudi clinic kuangaliwa tenaHazard imekuwaje tena?
Usiwe unafurahia kiboyaHuu ubingwa wa safari hii sio mchezo, Atletico amepigwa nikafurahi kuja kushtuka na Sie tukapigwa, Sasa hapa wote tuna kibarua cha kushinda, acha tuone itakuwa vp mpka mwisho
Usiwe unafurahia kiboya
Achana nae huyo, anatafuta sehemu ya kupata faraja, anakaribishwaWe jamaa kwenye jukwaa lako kule ukipigwaga hua unapotea kabisaa ila sasa kwakushinda kwenye majukwaa yawenzako hujambo
Hili timu bovu Sana ..Hadi lije like sawa ni misimu mitatu mbele uko..
Huo ni mtazamo wako tu, ila si ajabu angekuwepo asingecheza kabisa, Bale hawezi tena kujitoa kwa club so ishu ya kumtoa kwa mkopo ilikuwa sahihi kabisa,, msimu unaokuja tutamtoa Hazard pia either auzwe mazima ama atolewe kwa mkopo, Jersey ya Real Madrid imekuwa nzito sana kwakeKama kocha wenu angeacha ujinga wa kumpiga benchi kisha kumtoa kwa mkopo Bale basi ligi kuu ilikuwa yenu bila shaka
Kwa Madrid hata ije kukaa sawa baada miaka 10 hatuna shaka na nyie viazi mnaotufatia....yaani miaka 10 bado haitoshi hata ku equaliser mafanikio yetu.Wazee ligi ishaisha muda wa kujipanga kwa msimu ujao ila nimatamanio yangu kumuona Kylian Mbappe ndani ya bernabeu
Ninamtakia kila la heri, Real Madrid ni kama nyumbani, anakaribishwa wakati wowote.#MICHEZO Zinedine Zidane (48) ameachana na Real Madrid ikiwa ni mara ya pili. Alifundisha kati ya Januari 4, 2016 mpaka Mei 31, 2018 na alishinda mataji 9 ikiwemo #UCL mara 3 mfululizo. Awamu ya pili alianza Machi 11, 2019 - Mei 27, 2021 akishinda mataji 2, ikiwemo #LaLiga 1 https://t.co/abH2hCmGWs
Nyumbani ni nyumbani tu japokuwa tulikuwa hatuna makubaliano nae ya moja kwa moja., bado tuna options nzuri tu kwa ajili ya Mwalimu, na kama ikishindikana kabisa Raul yupo kuziba hiyo nafasi.Allegri nae kumbe ni muhuni mmoja tu 😆 juzi anahojiwa akasema hana tena mpango wa kurudi Italy kwahiyo anatazamia kwenda Madrid kutegemea na hatma ya Zidane, leo tena tunasikia kabadili gear angani karudi Juve 😂 ila sishangai waitaliano ndio zao 😆