Unaanza kuwakataa wachezaji Wako hiyo ndio Chelsea leo Tuchel kaja na mbinu ya kuwaachie mcheze nyinyi ili mtengeneze space ya Chelsea kupiga counter attack na nyinyi mmeingia kwenye mtego wake
Kmmazao wasenge hawa...hizi cross hazisaidii kumamae hawaoni yaan...wamekomaa nazo...mtu ana nafasi yakusogea anapeleka pembeni kumamae kabisa kuanzia zidane,beki na hizi foward...
Mpaka sasa team imecheza vizuri licha ya kuwa nyuma kwa goli moja, Tunahitaji vitu vidogo sana kupata goli la kusawazisha, na huo uwezo tunao.
HalaMadrid!!
Kabisa mkuu, mimi ni Madrid ila mpira walioucheza leo madrid ni mashudu tu, hana beki za maana(Wana kabia macho), haeleweki anacheza mfumo gani,,. Yani Kiufupi, tumepigwa kihalali kabisa.