Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Uwepo wa Mendy, na Valverde unatupa options nyingi za kushinda game ya leo achilia mbali jahazi kuongozwa na King Ramos.
 
Uwepo wa Mendy, na Valverde unatupa options nyingi za kushinda game ya leo achilia mbali jahazi kuongozwa na King Ramos.
Kweli kabisa Mkuu, Mendy akicheza huwa ninakuwa hata na amani, sio Marcelo unajua kabisa muda wowote anakuwa kichochoro., kama Valverde na yeye ataanza pia tutakuwa na option nzuri sana kati kati ya uwanja, kwasababu kijana ana speed na ni mzuri pia kwa kupress, hao wawili watabadili game kwa kiwango kikubwa sana.
 
Naona kz mnayo Leo.

Mwambieni kocha wenu acheze ule mfumo wa 4+3+3 mlio uzoea vijana wake si wamerudi wote?


Yaani mkicheza huo mfumo mnakufa asubuhi tu. Bora ata mcheze 3+5+2
 
Naona kz mnayo Leo.

Mwambieni kocha wenu acheze ule mfumo wa 4+3+3 mlio uzoea vijana wake si wamerudi wote?


Yaani mkicheza huo mfumo mnakufa asubuhi tu. Bora ata mcheze 3+5+2
Ninaona unapata sana shida na mfumo, huo mfumo wa 4 3 3 ndio tulioutumia dakika 15 za mwisho, mbona hamkutusumbua ama kutufunga, wewe weka kichwani kuwa leo mtakutana na team tofauti na ya awali, sasa nendeni na matokeo mfukoni mkalie
 
Usije baadae ukakimbia Huu uzi nakupa tahadhali mapema mdomo wako utakuponza nyinyi hamna team yakuifunga Chelsea
Walioyazoea haya makombe wametulia hamuoni kama mnawaletea noise pollution 😂 mjiongeze basi. Tatizo timu za EPL hasa vibonde Chelsea ni washamba mno wa fainali za UEFA, basi mmefika ka-semi final tu yani nyie na huyo kocha wenu mna makelele kibaaaao, yani tafrani 😂
 
Kwenye hiyo hiyo historia ambayo na nyie vibonde Chelsea mnaitembelea pia labda nikukumbushe tu, semi final yenu ya mwisho kabisa ilikuwa miaka 7 iliyopita mliyopigwa 3:1 hapo stamford bridge na wahuni Atletico Madrid 👏 After then mmekuwa mkiishia round 16 kutokana na matokeo yenu mabovu mno mkiwa stamford bridge, jambo ambalo halishangazi kabisa kwa kuwa ndiyo historia/nyota yenu mnayotembelea mkuu 😂
 
Ao Atletico nenda kawaulize kilichowapata round hii..
Sisi siyo watu wa sifa sifa mingi.
#CFC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…