HAKUNAMATATA
JF-Expert Member
- Jun 29, 2017
- 1,006
- 2,289
Yeah, Kijana bana tunaweza tusimuone tena kwenye uzi wetu endapo hatafikia makubaliano na club juu ya mkataba mpya.
Sasa tumebakiwa na Ordiozola na mpaka sasa haijajulikana Dan atarejea lini.
Mkuu unamzungumzia Dani Carvajal ama? Kama ni huyo jamaa bado hajapona man, na hata kwenye kikosi kinachoenda kucheza na Liverpool hajaitwa, aliyeitwa ila japokuwa bado ana majeraha ni Federico Valverde, na huyu inasemekana atadungwa sindano ya kutuliza maumivu ili acheze, na anategemewa kucheza beki ya kulia kuziba nafasi ya Vasquez.Dan yupo na atacheza j5,ila sio wa kuweka imani sana kwake maana majeraha msimu huu yamemuandama sana.
Combination ya Lucas kama FB na Asensio hua inanoga sana.
Kama Varane karudi Nacho ana weza switch pembeni pia Mendy anaweza cheza upande huo Marcelo aka kamua leftMkuu unamzungumzia Dani Carvajal ama? Kama ni huyo jamaa bado hajapona man, na hata kwenye kikosi kinachoenda kucheza na Liverpool hajaitwa, aliyeitwa ila japokuwa bado ana majeraha ni Federico Valverde, na huyu inasemekana atadungwa sindano ya kutuliza maumivu ili acheze, na anategemewa kucheza beki ya kulia kuziba nafasi ya Vasquez.
Varane bado hatakuwepo, option tuliyonayo ni labda Zizou apange beki 3 yaani Mendy Nacho na Militao, huku Marcelo na Ordiozola wakicheza kama wing full backs.Kama Varane karudi Nacho ana weza switch pembeni pia Mendy anaweza cheza upande huo Marcelo aka kamua left
Mbona Ramos mzee wa vitasa hamu taji. Na yeye anaumwa? Kwahiyo mabeki tulionao ni hao hao tu wanne? Hakuna wengine?Varane bado hatakuwepo, option tuliyonayo ni labda Zizou apange beki 3 yaani Mendy Nacho na Militao, huku Marcelo na Ordiozola wakicheza kama wing full backs.
Ila sioni Zizou akifanya hivyo, anaweza akatushangaza tena, kwasababu jamaa kila siku anakuja na kitu kipya
Ramos pia hatakuwepo Mkuu, bado ana majeraha kama haitoshi juzi kakutwa na maambukuzi ya ya virusi vya Corona kwa hiyo mabeki waliobaki ndio hao ila msiwe na shaka watatuvusha.Mbona Ramos mzee wa vitasa hamu taji. Na yeye anaumwa? Kwahiyo mabeki tulionao ni hao hao tu wanne? Hakuna wengine?
Bro habari.Hasta el final.., HalaMadrid!!
Game ni saa Nne Kamili Mkuu kwa saa za Africa Mashariki, hao watakuwa wamejisahau tu.Bro habari.
Muda exact wa kuanza game ni saa ngapi. Livescore naona saa nne kamili. Nimepita kibanda umiza naona wameandika saa tano kamili. Hata mlango wa banda hawajafungua.
Wakuu nimeshindwa kuvumilia.Game ni saa Nne Kamili Mkuu kwa saa za Africa Mashariki, hao watakuwa wamejisahau tu.
Tafuta sehemu nyingine usikose uhondo
Yaani hao Chelsea ni vibonde sana
Chelsea tunamtafunaMadrid imecheza kama ilivyocheza na Liva ile fainal ya UCL mwaka 2018.
Madrid iliwaacha liva icheze mpira.
Ni imani yangu mechi na chelsea akili kubwa na nidhamu kubwa inahitajika maana madogo wa THE BLUES wana njaa na hili kombe.
Dogo valverde mzuri aisee amejitahidi na ameonyesha yupo tayari kutumika kwa nafasi zaidi ya moja.