Barcelona watacheza mechi yao ya UCL siku ya jumatatu kutokana na uwepo wa ratiba ngumu kwao za mashindano ya ndani.....
Source: CATALONIA BROADICASTING TV
Hiiiiiiiiiiii ahaaaaaa. Mbona twafaaaaa. Nani sasa nacho anajisahau sana. Sema uwezo wake kucheza namba viraka ndo unambakiza hapo madrid. Mm namwonaga mchovu asee
Juzi game dhidi ya Eibar walicheza Mendy Nacho na Militao kama center backs na walicheza poa tu, Nacho kwasasa yupo kwenye kiwango bora sana, amecheza kwa muda sasa hiyo nafasi since Ramos mara nyingi amekuwa nje kwa majeruhi, ila ishu yake ya kujisahau kama siku hizi haipo, so nina Imani na vijana wetu watakuwa na game njema tu
Hiiiiiiiiiiii ahaaaaaa. Mbona twafaaaaa. Nani sasa nacho anajisahau sana. Sema uwezo wake kucheza namba viraka ndo unambakiza hapo madrid. Mm namwonaga mchovu asee
Suala lilipo hapo ni kucheza kiteam zaidi, tunatakiwa tu control game kuanzia kwenye kiungo, tukiweza hilo kwenye kukaba hatutakuwa na shida sana,
Acha tuone kama Zidane atarudi na 3 Center backs ama atarudi na 4 defense line, na huko mbele atamalizia vp, majaribio aliyoyafanya juzi juu ya Eibar yatampa njia sahihi ya kuunda kikosi japokuwa Liverpool sio Eibar
Real Madrid line-up:
1. Courtois
3. E. Militão
6. Nacho
8. Kroos
9. Benzema
10. Modrić
11. Asensio
14. Casemiro
17. Lucas V.
20. Vini Jr.
23. F. Mendy.
Team inacheza kwa nidhamu huku wakitafuta nafasi, hatufungi magoli mengi ila team inajitahid na inacheza vizuri, hatimaye Vinincius ameona lango, umakini unahitajika zaidi na kucheza kwa maelewano. #HalaMadrid!!