Tunataka kuona magoli mawili zaidi to secure the game and be intertained. Huyu Vinincius angekuwa na finishing touch angekuwa mtamu sana. Sema huyu hawezi kubadilika tena huyu.
Kwenye hizi club nane zamani hatua hii timu ziliogopwa zisipangwe na madrid kwenye hatua zinazofata misimu mitano iliopita.
Ila sasa kila mtu anaitamani madrid yetu aisee zama zinabadilika.
Kila club inaogopa isipangwe na MAN CITY au BUYERN MUNCHEN.
Sisi haturuki step, ni hatua baada ya hatua, waliopo mbele yetu kwa sasa ni Liverpool, acha tumalizane nao kwanza kisha na nyie malizaneni na Porto kisha ndio uje tujadiliane.
Sisi haturuki step, ni hatua baada ya hatua, waliopo mbele yetu kwa sasa ni Liverpool, acha tumalizane nao kwanza kisha na nyie malizaneni na Porto kisha ndio uje tujadiliane.
April 6 madrid anakipiga na liva.
April 10 anakipiga na barca mechi ya ligi kuu.
April 14 anarudiana na Liva mechi ya UCL.
Nafikiri kwamba ni muda wa los blancos kuamua moja kama ni la liga tukomae afu UCL tuache itupite. Kama ni UCL tukomae afu la liga itupite. Atletico di madrid wao huwa wanacheza karata vizuri waliona hapa UCL hatuna chetu wakakomaa na ligi kuu