Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

ile hattrick ya UEFA kuna watu walisema ni sababu ya ronaldo wengine Zizou
ila sasa sio zizou wala ronaldo aliyeionja UEFA.. kwahyo unasema ilikuwa sababu ya nini?Maana wachezaji ni walewale
 
ile hattrick ya UEFA kuna watu walisema ni sababu ya ronaldo wengine Zizou
ila sasa sio zizou wala ronaldo aliyeionja UEFA.. kwahyo unasema ilikuwa sababu ya nini?Maana wachezaji ni walewale
Kwa ufupi tu jibu lako ni hili.

Perez+Zidane+Ronaldo=Three champions league titles.

Na hivyo vyote vitatu vinategemeana, na kikipungua hata kimoja tu, sahau kuhusu UEFA.

Yule aliyekimbilia Turin fainali ataionea kwenye bomba tu na hawa waliobaki siku sio nyingi watatarakiana kweupe.
 
Kwahyo unasema cr7 akirudi Bernabeu UEFA tunachukua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahyo unasema cr7 akirudi Bernabeu UEFA tunachukua?

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kusema moja kwamba jibu ni ndio, issue kubwa hapo je waliopo pembeni yake watakuwa wana spirit ile ile ya upambanaji Kama yeye?? Watakuwa bado Wana njaa ya mafanikio kma yeye?? Maana hao akina Varane siku hizi wanacheza Kama wako mazoezini, mechi wanayojituma sana ni moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…