Timu imekua kichomi hii kwa sasa..
Hakuna creativity hata kidogo.. Pasi hazina maana, hawawezi ku create space, attacking ipo so weak. Ni bora liende tu
Jama jama jama, yaani nimetoka kidogo tu na kurudi tumepigwa bao nne. Sasa hivi nimehama Channel, bora niangalie CNN tu na habari zao za uchaguzi.
Yaani tumepigwa penalty 3
Jama jama jama, yaani nimetoka kidogo tu na kurudi tumepigwa bao nne. Sasa hivi nimehama Channel, bora niangalie CNN tu na habari zao uchaguzi.
Yaani tumepigwa penalty 3
Hii team gereji timu shamba inakatisha tamaa..nafikiri ni muda sasa tupasue kibubu tufanye usajili kila siku nasema ramos na varane wasicheze pamoja miguu inawasaliti.