Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,516
- 5,418
Wewe kama mpenda soka hunasababu ya kununua mwenzio akishinda. Sehemu la liga ilipofikia kila mtu ashinde mechi zake....Tatizo Barca nao kila game wanashinda tu! Wananikera kweli. Jana wameshinda NNE moja. Yaani tukipoteza game moja tu basi ndoo tunaikosa tena kwa mara ya 5 mfululizo.

