Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Naomba kujua game zilizobaki tupo na nanii kwe la liga. Maana kutoka group moja la wana madridstaa nililopo naelezwa zizou anampango wa kutoa ushindani mkubwa makombe yoote ambayo bado tunashiriki ndo maana anafanya rotation ya squad yake. Hili mimi naona tutakosa vyoote. Afocus kwenye la liga tuu. Uefa ndo kombe letu hata mtoto ambae hajazaliwa anajua ilo ila sasa msimu huu matumaini yamebaki ncha ya sindano.
 

MamaDeborah upo mpaka huku
 

Hatuwezi kabisa kumfunga Man City 2-1 pale Etihad?
 
Hatuwezi kabisa kumfunga Man City 2-1 pale Etihad?
Hata mimi naliona hilo. Pale ndo mwisho wetu. Labda kama ipo miujiza kwenye soka nitakubali. Sasa iyo rotation ya zizou sipingani nayo lakini iwe ni kwa ajili ya la liga. Naona UEFA ni maji marefu. Napo tukifocus kwa UCL tunaweza kosa vyoote.
 
Real Madrid XI: Courtois; Carvajal, Varane, Sergio Ramos, Mendy; Modric, Fede Valverde, Hazard; Bale, Benzema & Vinicius.

Subs: Kroos, Marcelo, James, Isco, Areola, Mariano, Asensio, Militao, Brahim, Javi Hernández, Rodrygo, Altube

Mallorca XI: Manolo Reina, Budimir, J. Lago, Dani Rodríguez, Raillo, A. Sedlar, Febas, M. Valjent, Pozo, I. Mohammed, T. Kubo

Subs: Salibur, Salva Sevilla, P. Chavarría, Xisco Campos, A. Trajkovski, Abdón Prats, Josep Señé, Miquel Parera, Joan Sastre, J. Hernández, Fran Gámez, L. Romero
 
Wakuu, naomba mwenye LINK ya kutazama mpira wa Madrid anisaidie tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…