Tall sema tumepata pointi tatu, lakini kiukweli hii timu wachezaji wenye mishahara mikubwa ndio wanazingua kabisa, kwa mfano, huyu Bale alifuata nini uwanjani? Si bora angepewa nafasi mtu kama Brahim au Mariano.

Upo sahihi kabisa. Tungecheza na timu nzuri ingekula kwetu. Hatutengenezi passing spaces, na tunaacha gapes sana za kupenyeza mipira. Tungecheza na timu ipo clinical tusingepona. Hope tuta improve with time.