Hapa kumuanzisha Jr na benzema ni kamari ya aina yake kwa sababu wote wana ugomvi nakutumia nafasi vizuri...yaan hapa kiziwi na kipofu wanasindikizana mjini.
HT:Kama ambavyo mara zote inaonekana wakicheza Vin Jr na Benzema kwa pamoja lazima timu izidiwe ndio ambacho kimetokeo kipindi cha kwanza,hapo lazima mmoja aende bench,huku mbele mpira haukai hata kidogo...sikumbuki kama tuna on target hata moja ukitoa ile ambayo benzema na mdgo wake walipata degedege pale golini..
Beki zinashindwa kucheza mbinu za offside kwa ufasaha,eneo la kiungo limetulia...Isco,Valverde,Casemiro na Luca wamefanya kazi nzuri sana...kimchezo hapo kama zidane atakuwa muungwana anatakiwa apumzishe hawa wawili (Benzema na Vin Jr) lakini badala yake utaona atampumzika Isco au kiungo mwingine.
Nina amini kuna kazi kubwa sana yakufanya kwa ajili ya msimu ujao..tunacheza lakin hatuna mipango yakushinda,...sioni kama kuna kuendelea hatua inayofuata,kwa UCL tuseme kwa msimu imetosha..

Timu yetu inahitaji striker wawili wenye uwezo zaidi ya waliopo ambao wanalijua goli haswa. Lakini kwa mwendo huu tutakuja pigwa kama mbsa koko huko mbeleni.