Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Mbappe naona anakuja washaanza kugombana na kocha wake huko Au Aubamiyang ngoja tuone lakini itakapo fika summer.Msimu huu tume anzia chini ndio maana imekua hivyo kumbuka huwez kuwa number 1 milele , Hazard na Asensio wakirudi tuta kaa poa japo ni kweli tuna hitaji striker wa kumu challenge Benzema mwenye caliber ya Filimino, Mbappe au Aubamiyang
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimu huu tume anzia chini ndio maana imekua hivyo kumbuka huwez kuwa number 1 milele , Hazard na Asensio wakirudi tuta kaa poa japo ni kweli tuna hitaji striker wa kumu challenge Benzema mwenye caliber ya Filimino, Mbappe au Aubamiyang
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa 5 times Champion sio issue kwahiyo kigezo hiko Benzema ni bora kuliko Dilma kwakua ajachukua uefa champion?
Katika dunia ya sasa Harry Kane ni moja wa maforward hatari hilo halipingiki kama ww unazani ni overrated basi kazi zake utakuwa huzioni nje ndani katufunga last season champions league.
Real madrid ikaongozwe na foward anaetokea Arsenal ambayo hata Champion league wameshasau wameshiriki lini ? acha masihara yenu hayo
Labda kma unaongea kishabiki na kubishana lkn in reality Aubamiang mchezaji wa level kubwa bahati mbaya yupo team mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kma unaongea kishabiki na kubishana lkn in reality Aubamiang mchezaji wa level kubwa bahati mbaya yupo team mbovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Level kubwa ndio, ila Madrid ni level ingine. Btw, jamaa aliomba sana kuichezea Madrid wakati akiwa Dortmund, club ikakausha. Hana kiwango wala profile ya kuvaa uzi mweupe.
"Zidane is a gift from heaven above "Florentine Perez, wakati watu wakisema ohh zidane amejiaribia kurudi Madrid,hana jipya,alibebwa na CR7 na miguu ya saint Mondric ,sasa ivi watu kimyaa kila kukicha team inazidi kuwa chuma cha Reli team inakoelekea ni kupigisha kwata kiroho mbaya .Mariano Diaz is one of our own. He scored a lot of goals with Castilla before he got promoted.
Hii timu we iache hivihivi. Combo ya Zidane na Florentino Perez hamtakaa mje kuisahau. Yaani ni mwendo wa silverware mpaka mtakubali
Auba ni mchezaji mzuri.. naamini angekuja Madrid angetusaidia sana.Level kubwa ndio, ila Madrid ni level ingine. Btw, jamaa aliomba sana kuichezea Madrid wakati akiwa Dortmund, club ikakausha. Hana kiwango wala profile ya kuvaa uzi mweupe.
Huyu dogo Mbappe namkubali sana..Mbappe naona anakuja washaanza kugombana na kocha wake huko Au Aubamiyang ngoja tuone lakini itakapo fika summer.
Auba ni mchezaji mzuri.. naamini angekuja Madrid angetusaidia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio ukweli , sasa hivi Benzema ana beba mzigo mzito sana ikitokea amekabwa au ana injury tuna struggle sana , tuna hitaji mtu mature wa kusaidiana na Benzema sio hawa watoto kina Vunisius Jr
Sent using Jamii Forums mobile app