zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,860
- 36,557
Sasa imeonekana wazi mlikua mnamtegemea Ronaldo, ila timu yenu haina makali kabisa. Hvi Mariano na Jovic ndio wakuwapa makombe?? FunnyHalf time 0-0 kiungo tumemiliki tuongeze watu wa kazi tumalize game kule mbele, defense imecheza poa sanay
Sent using Jamii Forums mobile app
Zizzou leo kule mbele hajaweka watu wa kazi sijuhi anawaza mini kaamua kuwapa nafasi vijanaSasa imeonekana wazi mlikua mnamtegemea Ronaldo, ila timu yenu haina makali kabisa. Hvi Mariano na Jovic ndio wakuwapa makombe?? Funny
#AupaAtleti
Valvede alicheza vizuri sana, ila kipa wetu ndo naumona Man of the match
Sasa imeonekana wazi mlikua mnamtegemea Ronaldo, ila timu yenu haina makali kabisa. Hvi Mariano na Jovic ndio wakuwapa makombe?? Funny
#AupaAtleti
Sasa imeonekana wazi mlikua mnamtegemea Ronaldo, ila timu yenu haina makali kabisa. Hvi Mariano na Jovic ndio wakuwapa makombe?? Funny
#AupaAtleti
Valvede alicheza vizuri sana, ila kipa wetu ndo naumona Man of the match
Sent using Jamii Forums mobile app
Mumpige Liver kwa forward gani?? Toka Ronaldo asepe mmekua wa kawaida sana alikua anawabeba mnoo. kiufupi UEFA mtaisikia kwenye bomba, tutarudi hapa April kukumbushana.Kama Real Madrid watashinda leo hii, basi kuna uwezekano mkubwa wakabeba la liga na Champions league pia. Siku tukimpiga Liverpool ndio Dunia itajuwa kwamba Zidane sio mtu wa mchezomchezo
Lakini ni kweli toka aondoke pengo lake limeonekana. Hamna mchezaji wa guarantee ya goli 40 kwa msimu na itawachukua miaka kupata replacement.Acha mihemko wewe. Ronaldo kaja kaikuta Madrid, kama walivyokuja wengine na kuondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mumpige Liver kwa forward gani?? Toka Ronaldo asepe mmekua wa kawaida sana alikua anawabeba mnoo. kiufupi UEFA mtaisikia kwenye bomba, tutarudi hapa April kukumbushana.
Lakini ni kweli toka aondoke pengo lake limeonekana. Hamna mchezaji wa guarantee ya goli 40 kwa msimu na itawachukua miaka kupata replacement.
Mumpige Liver kwa forward gani?? Toka Ronaldo asepe mmekua wa kawaida sana alikua anawabeba mnoo. kiufupi UEFA mtaisikia kwenye bomba, tutarudi hapa April kukumbushana.
Kwenye recent history hakuna Era mmekua na mafanikio kuliko wakati wa Ronaldo. Toka aondoke hamna guarantee ya kumfunga vitimu kma Sociedad au Getafe!!
He played his part but Ajax was too good.Kama Ronaldo ndio champions league anatakiwa abebe akiwa na Juventus. Tulivyowapiga Liverpool kwenye UEFA Ronaldo alifunga goli ngapi? Football is a team play, kama unafikiri hatuna forward, why