Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,368
Mbona unakata tamaa mapema hivyo man, ndio kwanza tupo game ya 17, bado safari ni ndefu sana.Daah inauma sana pale tunajua kabisa Mwaka huu hatuchukui league wala uefa
55’ - Club Brugge 1-1 Real Madrid
65’ - Club Brugge 1-2 Real Madrid
Labda mbebe kikombe cha chaiMbona unakata tamaa mapema hivyo man, ndio kwanza tupo game ya 17, bado safari ni ndefu sana.
Ninachoamini ni kuwa msimu huu ni lazima tubebe kikombe.
Endelea kusubiri tubebe kikombe cha chai! Usisahau kutupongeza tukifanya hivyo!!
Kwanin isiwe ni wao wanapoteza!? hii ni UCL na game zitapigwa mwakani Feb so.chochote kinaweza tokea!!
Tukiimarika ulinz bas tutawaweza bila shakaLeo ndio ile siku yenyewe Wakuu, ninajikuta ninajiamini sana Leo, ninaona kama vijana wapo tayari kupigana tutoke na point Leo pale Camp nou!!
Vp nyie Madridista wenzangu!!?
Ninatumaini Federico atafanya kazi yale ipasavyo!!
Hii game inawahitaji wao wanajua uzito was E classico natumaini tutawanyoosha pale pale kwaoNaona pale mbele leo Zidane kaanza na wakongwe tupu, Benzema - Isco - Bale.
Hii game inawahitaji wao wanajua uzito was E classico natumaini tutawanyoosha pale pale kwao
Sent using Jamii Forums mobile app