Point 3 muhimu, japokuwa team haijacheza vizur, Mendy bado sana, hana tofauti na mwenzie Vinicius Jr, pass za mwisho kwao bado ni shida ama wakifika ndani ya 18 hawajui nini cha kufanya!!

Mendy atasaidia tu hivyohivyo, maana kupata wachezaji kama Marcelo inatokeaga tu. Inasikitisha sana kuona umri unamtupa mkono na ndio sababu injuries zinamuandama.

Yaani kwa Mendy ninaona kama club ilifanya kosa kama la kumtoa Hakimi kwa mkopo na kumnunua Ordiozola, sijaona tofauti kubwa kati yake na Reguillon, labda physic tu!! Ngoja tuendelee kuvuta subira labda atabadilika huko.mbeleni