Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #42,961
Mkuu n swala la muda tu. Hazard Benzema Bale bafo ni threat kwa timu pinzani. Kina Rodrygo wasingefanya chochoteKwa maoni yangu, ile from three ya Hazard, Bale na Benzema ipo kwa ajili ya kuwazibia madogo wasipate number tu. I dare to say, Rodrygo is better than all of them. Hawa jamaa washajichokea sema wanabebwa na historia tu.
Bado ni wazuri kiasi chao, wanachowazidi hawa vijana wadogo ni experience tu, mdogo mdogo Zidane atajua jinsi ya kuwachezesha na hawa vijana wetu wadogo, Hazard bado anahitaji darasa jinsi ya ku link up na wenzie na ajitahid asiwe anapoteza mpira mara kwa mara.,Mkuu n swala la muda tu. Hazard Benzema Bale bafo ni threat kwa timu pinzani. Kina Rodrygo wasingefanya chochote
Yeah ni kweli kabisa. Yan Hazard Laliga atasumbua sana akielewana na wenzie.Bado ni wazuri kiasi chao, wanachowazidi hawa vijana wadogo ni experience tu, mdogo mdogo Zidane atajua jinsi ya kuwachezesha na hawa vijana wetu wadogo, Hazard bado anahitaji darasa jinsi ya ku link up na wenzie na ajitahid asiwe anapoteza mpira mara kwa mara.,
Kaka baada ya jana kuitazama madrid yetu bika kupepesa jicho,imani imeongezeka.Tunatoka na kitu mwaka huuu.Aldonae, post: 32793139, member: 267429
Mkuu mbona unakata tamaa mapema hivyo, msimu ndio kwanza unaanza chochote kinawezekana., kwahiyo kuwa na Imani tu uwezekano wa kuchukua Kombe upo tena mkubwa tu, #HalaMadrid
Sio poa hiyo , kwa umri huo mkubwa kwa wachezaji tegemewa sita kabisa ukikutana na timu ya vijana wa umri mdogo hao wazee watahemeshwa mpaka utajuta
Mkuu upo sawa lakini kuna mechi za kucheza kucheza wale watoto na za kucheza hawa mafatherKwa maoni yangu, ile from three ya Hazard, Bale na Benzema ipo kwa ajili ya kuwazibia madogo wasipate number tu. I dare to say, Rodrygo is better than all of them. Hawa jamaa washajichokea sema wanabebwa na historia tu.
Hazard anapokea mpira wa kasi halafu anaupooza.. na kufanya timu pinzani kuziba nafasi fasta.Kwa maoni yangu, ile front three ya Hazard, Bale na Benzema ipo kwa ajili ya kuwazibia madogo wasipate number tu. I dare to say, Rodrygo is better than all of them. Hawa jamaa washajichokea sema wanabebwa na historia tu.
Bwana mdogo Rodrygo anajua kufunga na hata kuchezesha team nashangaa kwa nini Zizou hampi nafasi ya kutosha. Nimeicheck mechi ya real Madrid castilla juzi dogo amefunga goli zuri. Kiufupi dogo anajua kuzidi hata Huyo Vinicius Jr.Kwa maoni yangu, ile front three ya Hazard, Bale na Benzema ipo kwa ajili ya kuwazibia madogo wasipate number tu. I dare to say, Rodrygo is better than all of them. Hawa jamaa washajichokea sema wanabebwa na historia tu.