Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

maneno ya kivuta bangi hata zizzou hawezi kuwaambia wachezaji wake
 
Zidane atasingizia usajili.
Ila ukweli timu mbovu sana huyu kipa anatakiwa atolewe mkopo. Navas hakutakiwa Uzwa
 
Kuna mnyama anaitwa idrisa gueye kawapoteza wote pale kati.

All in all psg ndio timu kwa sasa yenye best midfield

Verrati

Herrera

Gueye

Maurinqoh
Umemsahau Muargentina mmoja anaitwa Leandro Daniel Paredes fundi wa pasi sema huwa haaminiwi tu pale Parc Des Princes
 
Kuna mnyama anaitwa idrisa gueye kawapoteza wote pale kati.

All in all psg ndio timu kwa sasa yenye best midfield

Verrati

Herrera

Gueye

Maurinqoh
Nilipata bahati ya kumuona live Gueye alipokuwa everton na moyoni nikasema kwanini team kubwa hazimchukui huyu mtu anajuwa mpira katulia au ndio profile ya player inachangiwa na nchi uliyotoka. Jana kawaonesha uwezo wake alikuwa anamzunguka Kroos kama utani na sio mara moja kampunguza mara nyingi na akifanya hivyo tu unaona kabisa Real wako katika shida. Gueye angekuwa ni kutoka Brazil, England au sijui spain ungesikia nyimbo zote yeye lakini sababu Msenegal anaongelewa lakini sio sana na ile apewe sifa inabidi apate 10/10. Jamaa jana kafunika vibaya sana na mbaya zaidi Everton walimuuza kama bure tu Mil 26 naona baada ya jana wanajuta. Arsenal au Man u wenye viungo wabovu kweli walikuwa hawamuoni huyu bwana mdogo.
 
Huu ndio uhalisia khalisi wa Zidanne, tumegundua kuwa alipobeba uefa Mara tatu mfululizo ni alitembelea nyota za wachezaji kadhaa kama Cr7, akina mordich, Bale, na wengineo ambao walikuwa moto.

Sasa ndo tunamuona Ziddane khalisi jinsi ambavyo hajui chochote kuhusu ukocha.

Lampard is better so far than Ziddane ...

Bisheni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…