Mie sio mshabiki wa Barca ila personally ndio timu bora ulaya kwa hii decade ikifuatiwa na Napoli na Dortmund,Atletico,Spurs maana zinaoperate kwenye bajeti finyu ila zimeendelea kuleta ushindani kwa miaka mingi hivyo nazipa Heko.
Nachosema ni kweli Real kuchukua uefa mara 3 ni milestone ila msiikuze sana eti ndio timu bora duniani kisa hizo hat-trick..... Nikajenga hoja kwamba licha ya kutumia pesa nyingi na kumtegemea ronaldo kuwabeba ila bado knockout competition sio kipimo cha timu bora maana timu inaweza kukutana na dhaifu mpaka fainali tofauti na ligi ambapo lazima ukutane na mabingwa wenzio ili utambue nani mfalme wa wenzie.
Mfano juve ingemfunga Ajax ingemtkuta spurs hizo zote ni average team na ingeshaingia final.... Ila kwenye ligi hakuna hizo janja lazma ukutane na wababe wenzio.
Kumbuka Atletico walikua hawaingii Top 2 la liga lakini walifika fainali ya UEFA mara 2 sababu ya strategy ya kufunga 1 wanarudi kupaki basi...... Sasa hyo janja la liga hamna maana ni lazima wamfunge barca na real ili wabebe ndoo.
I hope mnaelewa hoja yangu
And Sergio Ramos does a U-turn and announce to stay. Gotta love how the club gave no deal whether he left or stay. We are Real Madrid, we don't beg no one to wear the shirt.
Atleast fans tuwe na respect kwa wachezaji wanaoisaidia timu. Hujui makubaliano ya Ramos na club sio kuropoka ropoka tu
Neymar mlibeg sana ikashindikana now hazard club imempigania kwa nguvu zote mpaka kumpata
Uwe unaomba ueleweshwe kwanza kabla ya kujitia ujuaji. Na taarifa za vijiweni jaribu kwa wengine.
Wewe mwenyewe una taarifa za vijiweni kama mie. Mheshimu captain na maamuzi yake
#hopenawehutajidainishareholderpalermadrid
Ok bro, I can't speak slow so do us both a favor and get off mine.
Uwe unaangalia na avatar. Tusibadilishane jinsia mkuu
Dah...naikumbuka hii mechi aisee...nakumbuka akiwa kwenye kibendera akishangalia na wachezaji wengine...R I PFormer Real Madrid's player, Jose Antonio Reyes has passed on. Will always remember his 2 goals against Real Mallorca in the final game of La Liga 2006 / 07 season. The most thrilling league we ever won imo. Rest in peace.
Whatever bro, I am not interested. Bye.
Dah...naikumbuka hii mechi aisee...nakumbuka akiwa kwenye kibendera akishangalia na wachezaji wengine...R I P
Huyu dogo anajua jinsi ya kucheka na nyavu na pia ni fundi wa kuuchezea mpira.Luka Jovic. Comunicado oficial. Brace yourselves coz we're really out for the kill. Vamos.
Liverpool acted pathetic and proved to be sore losers after we won our last CL against them. And for that reason mainly, I wish Spurs are the ones lifting it tonight. Grateful they destroyed Barca tho.
After a 1099 days on the throne, finally there's a new king of Europe. Congrats Liverpool. We'll be back where we belong.
Ooh, the pathetic and sour losers!
We are here to stay, keep watching.