Msimu huu Juve wamemisi kombe gani kubwa walilobeba msimu jana?.. au mwaka jana walibeba uefa?
Mguu mmoja wenu aende akavae kiatu epl kama anaweza, mbona kaolewa jumla na barca.
Cr7 amekuwa mchezaji bora italy mbona husemi?.. Age 34 unataka acheze kama Hazard?..
Chuki za kutolewa UEFA 4-0 peleka huko
Ndio ujue umezoea kuona akifanya makubwa kwa kuwa ana uwezo mkubwa.. Age ya 34 ukitaka akimbize kama 22age ni uongo. Hata uyo wa age 36 ana historia ya kuwa mfungaji bora tofauti na mwaka huu.?Mkuu upo mbali sana. Juventus mwaka huu wamekosa Domestic double baada miaka miaka mi 5, Bado hujalijua kombe walilolokosa? Walikula kipigo cha 3-0 kutoka kwa Atalanta.
Hiyo tunzo ya uchezaji bora ni fixed tu.
Yupo nafasi ya 4 kwenye chart ya kiatu cha ufunguja bora huku akiongozwa na 36 years old striker tena ambae timu yake ni mid table.
Ndio ujue umezoea kuona akifanya makubwa kwa kuwa ana uwezo mkubwa.. Age ya 34 ukitaka akimbize kama 22age ni uongo. Hata uyo wa age 36 ana historia ya kuwa mfungaji bora tofauti na mwaka huu.?
Juve hitaji lao ni uefa sio carabao unazosema.
Hii hoja ni kigongo, Tunayaona huko Juventus, Timu imepoteza mchezo wake mzuri baada ya ujio wake. Pira limekua likipigwa pigwa tu mbele ili kuweza kufit mchezo wake. Hili limeawaathiri sana wachezaji wao bora wenye uwezo wakuchezea mpira vizuri. Dybala, Costa na Coadrado kuna uwezokano mkubwa wakuondoka baada Kuishia kuwa frustrated na mfumo mpya wakulamizshwa wawe wanamlisha CR7. Jamaa freekick zote anang'aga'nia na mpaka sahivi hata moja ameshsindwa kufunga.
Juventus wame underperformed sana msimu huu.
Fanbabies will kill you.
Hakuna shida.. yule ana mafanikio makubwa, hawa akina dybala ndio wapambane sio ronaldo.Naona mumekua hoja mbadala. Allegri ametimuliwa Juventus. Ni wazi kuwa timu imefanya vibaya. Nahuku CR7 akishiriki kikamilifu kuwangusha. Timu imekua massed Wachezaji wengi wanaocheza foward line wanaweza kutimka na sababu kuu ni Ronaldo. Aneyasuburiwa ni kocha mpya tu vijana wajue wanachukua maamuzi gani.
Hoja yenu ya Age inauliwa moja kwa moja kwa kua huyo Top scores ana umri mkubwa zaidi ya Ronaldo.
Inaweza kukuuwa weye labda mkuu. Kwani mimi na fanbase wa nani?
Hivi hufahamu kama Dybala, Coudrado, Costa wamekua chini ya kiwango msimu huu? hufahamu kama wote wanampango wakutimka? Hufahamu kama wote wameishia kuwa bench na wale waliokua bench ndio wamekua wakiwa na namba? sababu kuu ya yote haya ni nini?
Ukiondoa udakaji (gopikipa), ushambuliaji na ukabaji.... ni idara gani nyingine imebakia kwenye uwanja wa soka?
Lawama lazima abebe kocha sio Ronaldo.. Dybala, Cuadrado na Costa wanapigwa benchi na mtu mmoja?Inaweza kukuuwa weye labda mkuu. Kwani mimi na fanbase wa nani?
Hivi hufahamu kama Dybala, Coudrado, Costa wamekua chini ya kiwango msimu huu? hufahamu kama wote wanampango wakutimka? Hufahamu kama wote wameishia kuwa bench na wale waliokua bench ndio wamekua wakiwa na namba? sababu kuu ya yote haya ni nini?
Mimi ndie nilisema Ronaldo anaua team play kabla hajajiunga na Juve. Hii comment yangu hapa nakutaadhalisha tu hawa fanboys hawataki kusikia ukweli.
Hakuna shida.. yule ana mafanikio makubwa, hawa akina dybala ndio wapambane sio ronaldo.
Ndie top scorer hapo juve..ishu ya kiatu haimpi homa anavyo vingi.
Mfano umlaumu Messi badala ya akina coutinho.. Leo anafanya juhudi zote wenzie wanatoa macho tu.. ndio sawa na Dybala na Ronaldo
Wamtoe sasa huyu mzee ronaldo ili wapate wanachotaka... Anaejenga mfumo huu wa mtu mmoja ndio alaumiwe sababu amefeli.. Then anafata huyu mzee kumuangusha kocha wake.Mkuu Cotinho halaumiki kabisa kwneye suala la Barca. Matatizo wanayo waliomsajili halafu wakashindwa kumtumia vizuri. Wachezaji wengi mno wameshindwa kucheza na Messi kwa kua wanakua forced kwenye mfumo wakumtumikia messi ambao unawashinda.
Timu inapotengenezwa kwakua build around you huna njia mkuu Lawama zitakuandama tu.
Lawama lazima abebe kocha sio Ronaldo.. Dybala, Cuadrado na Costa wanapigwa benchi na mtu mmoja?
Kocha ndie kashindwa kumanage vzr mkuu
Wamtoe sasa huyu mzee ronaldo ili wapate wanachotaka... Anaejenga mfumo huu wa mtu mmoja ndio alaumiwe sababu amefeli.. Then anafata huyu mzee kumuangusha kocha wake.
Hawako mbali waboreshe tu timu yao
Naam Ustadhi
Naam Ustadhi
30 goals a season hata CR7 anasoma namba
Msimu huu Juve wamemisi kombe gani kubwa walilobeba msimu jana?.. au mwaka jana walibeba uefa?
Mguu mmoja wenu aende akavae kiatu epl kama anaweza, mbona kaolewa jumla na barca.
Cr7 amekuwa mchezaji bora italy mbona husemi?.. Age 34 unataka acheze kama Hazard?..
Chuki za kutolewa UEFA 4-0 peleka huko
Mzimu wa CR7 hautaisha ndani ya uzi huuu hahahaha
Vipi ile thread yenu ya magoli ya CR iliishiaje? 😂😂😂😂