Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Jamaa Katema cheche sio za nchi hii
Screenshot_2019-03-11-21-51-22.jpeg

Sent using Unknown device
 
Tafuta iyo thread katiririka mengi kuhusu hiyo ishu.. Nimeshindwa kuscreenshot yote
Huyu bana kipindi cha hivi karibuni alijiona mkubwa kuliko timu anajifanyia atakayo. Nadhani zidane ni kiboko yake atatuliza nidhamu vizuri. Jamaa anatafuta kadi ovyo na hapewi onyo

Sent using Unknown device
 
Kuna mtu ameweka hapo juu. Ila sababu ya kufunguka ni baada ya Perez kumjia juu na kutishia kumuuza. Kuikosa championi imemuuma Perez balaa(maana ilikua ni fimbo ya kuwachapia zidane na CR7 kwa style ya ninaweza bila nyie)
Tafuta iyo thread katiririka mengi kuhusu hiyo ishu.. Nimeshindwa kuscreenshot yote

Sent using Unknown device
 
Nangoja kuona ajabu la zidane, sioni akienda kufanikiwa kama mwanzo
Kuna mtu ameweka hapo juu. Ila sababu ya kufunguka ni baada ya Perez kumjia juu na kutishia kumuuza. Kuikosa championi imemuuma Perez balaa(maana ilikua ni fimbo ya kuwachapia zidane na CR7 kwa style ya ninaweza bila nyie)

Sent using Unknown device
 
Zidane karudi kwa masharti ya kusimamia usajili mwenyewe. Atauza wachezaji ambao anaona hawamfai kwenye project yake na kusajili vijana watakaokaa nae kwenye kikosi kwa muda mrefu. Kwa akili ya Perez angemleta Neymar ili auze blingbling, lakini sioni Zidane akimnunua mchezaji wa miaka 28 kwa milioni €300M.
 
Nachoona kuna team zitauziwa magalasa ili kufund hiyo project.

Sent using simu mbovu
 
Nachoona kuna team zitauziwa magalasa ili kufund hiyo project.

Sent using simu mbovu

Hakuna galasa pale, wote ni talented players lakini ukiwaweka pamoja hawawezi kuperform as a team ndio maana baadhi yao wataondoka. Kuhusu pesa sio tatizo kwasababu Real hawajanunua wachezaji ghali kwa muda mrefu
 
Twt | Vinicius: Thanks for everything, mister! for helping me since my arrival, for the trust and opportunities. God always bless you deserve everything good in your life!
IMG_0858.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Twt | Reguilón: Eternally grateful to the coach who trusted me to play in the first team of Real Madrid. Professional and person . I am convinced that you will be great because you deserve it. Thank you for believing in me, mister.
IMG_0860.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Twt | Llorente: Mister, thank you for giving me the opportunity, for trusting me and for helping me bring out what I had inside. I wish you the best in the future.
IMG_0861.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Iker: All my life I thought that BACK TO THE FUTURE II was the best sequel to a movie in the world, but no, I was wrong !! The best sequel is the return of Zidane to Real Madrid!! Good luck !!
IMG_0862.JPG

IMG_0863.JPG

IMG_0864.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
MARCA's online poll on Real Madrid & Zidane. None of them close & the one-sided-ness (although not restricted to Madridistas only) shows that the majority clearly united & know what they want.

Your thoughts Madridistas?

IMG_0865.JPG

IMG_0866.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
🗣️ Vinícius Júnior: "I really wanted to work with Zidane, but unfortunately it will not be possible. Hopefully one day I see him, so he could give me some tips to improve as a player." [MARCA] 01/06/2018

Boom!, here he is....
IMG_0870.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom