Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #40,681
Navas with the save! Odriozola with the block!
Hii game ni ngumu sana leo ..sijui kama sevilla watatuacha salama
Let’s give our best and hope for more
Babu wakicheza kama ile game ya Leganes La Liga byebye. Na ndio utakuwa mwisho wa Bernabéu kuvumilia, tegemea kuona mabango yakimtaka somebody out.
Team yangu inaitaji kocha mzuri wa kuendeleza hiyo team ata kama tunataka kukuza vijana lakini kocha ndio mtu wa kwanza
Nilijaribu anangalia line up ya last game ety marcelo anaplay kama left winga daah. Ngoja tuone leo atakuja na mbinu gani kocha wetu lakini percentage ya sie kushinda ni chache
Kweli kabisa mkuu na inaumiza sana. Heri hata uchomwe na mwiba lakini sio madrid kufungwa
Sent using Jamii Forums mobile app