Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,360
Kwa Theo story yake inaweza kuwa imeishia hapo, ila kwa Hakimi sioni akiuzwa, yule dogo anaweza sana, na bahati nzuri yupo kwa mkopo kule Dortmund kwa miaka miwili, so baada ya hapo ninadhan atarudi, Ordiozola itabid akaze sana kumzuia Hakimi..Huyu mjomba alikosea sana kwa kudai kwenda loan. Angebaki pale angecheza mechi nyingi msimu huu kuliko uliopita. Now Odriazola and Reguillon are there to stay, I don't see him or Achraf Hakim make it back to the Bernabéu.
Kitu abacho kidogo nimeshindwa kuwaelewa Maboss wetu ni kutaka kumnunua huyu Dogo wa Man city Brahim Diaz wakati James Rodriguez anarudi msimu unaokuja plus Martin Odegaard na yeye anafanya vema kule Uholanzi, wote hao na attacking midfield japokuwa huyo dogo Diaz anaweza kucheza kama foward pia ila ninaona ni wakati club ikampa Martin nafasi msimu ujao..,