Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #40,201
Ninaona afadhali Asensio ametoka, bado Benzema, tunahitaji goli la pili lakini wao wanachezea tu nafasi wanazopata, huyu Ceballos nae simwamini kabisa, anafanyaga makosa mengi sanaON: Dani Ceballos
OFF: Marco Asensio
Ninaona afadhali Asensio ametoka, bado Benzema, tunahitaji goli la pili lakini wao wanachezea tu nafasi wanazopata, huyu Ceballos nae simwamini kabisa, anafanyaga makosa mengi sana
Bado wanajisahau sana, nafasi zinapatikana ila kufunga imekuwa ni shidaNilitegemea hasira za Csk Moscow wangemalizia Leo.
Ngoja tuone Dogo akipiga kati inakuwajeVinicius Jr is coming on