PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,262
- 22,139
Tru say, sometym hata kuangalia game inakupa uvivu performance ya team ipo chin sn...its better uingalie sevilla kuliko madrid kwa sasa cjui managemnt hawaon madudu ya solari
Mimi simlaumu Santi Solari kwa chochote. Timu kaikuta iko hivi, kitu alichofanya ni kumchezesha kila mchezaji kwenye namba yake natural. Sio Lopetegui, alikuwa anamuweka benchi Odriazola full back anampanga Vazquez. Alikuwa ananiudhi yule jamaa kwa tabia ya kujaribu kila game.