It's stupid to blame the coach. This wasn't a tactical defeat. Our players didn't show half of what was supposed to do
Matatizo yepi hayo ya benzema kutaka kuitawala timu that too France duh pole yake
Duh pole sana. Hopo mkuu, Lakini hulaumiki.
Watani msubiri saa nne usiku muone jinsi mdogo wenu Atletico anavyo nyooshwa na wakatalunya
Timu tumpe nani kwa utaalamu wakoNilijua haya yanakuja. Solari si kocha mzuri kabisa, na niliwashangaa Real kumpa mkataba mkubwa. Alau wangelimuacha amalize msimu. Timu inakua chini sana anashindwa kuchezea mpira kabisa.
Na pi bado nashindwa kufahama why Bal anaendelea kuwa anachezeshwa.
Mwinjuma muumini kocha wa duniaTimu tumpe nani kwa utaalamu wako
Unamfananisha Dembele na Bale? Isco? Asensio? Duh bora nikuache tu mkuu.
Weka mahaba ya timu ukibakisha mahaba ya soka, Bale wa leo hii anamfikia vipi kiwango Ousmane Dembele? Asensio huyo mliyempigia promo na uwezo mdogo, au chenga za showoff ambazo hazina tija labda popularity Youtube? Asensio na Mane leo hii nani anakiwango kama wewe ni mkweli?
Isco huyu huyu anaecheza mpira wa usumbufu usio na madhara kwa timu pinzani ndio amzidi Dembele?
Timu tumpe nani kwa utaalamu wako
Mkuu vipi naona umetoka kwa Dembele umekuja kwa Mane?
Na Habri zilizokuepo ni kuwa barca wanajiandaa kumpiga bei Dembele wameshajishtukia kama waliingizwa mkenge, wanataka kupunguza hasara.
Semedo=PortugalAtauzwa pauni milioni ngapi?
Bale majeruhi yalisha ua uwezo wake mkubwa wa kisoka nikikumbukia kazi aliyokua anaifanya kipindi anachezea Tottenham.
Marco Asensio ni propaganda tu za wahispaniola uwezo wake ni mdogo wahispaniola waliobaki ambao wanaujua kweli mpira ni Koke na Saul Niguez ukimuondoa Ramos na Carvajal wahispaniola wanaopata namba leo hii pale Real Madrid ni siasa tu.Cheki wahispaniola hawa wa Barca kama Jordi Alba, Busquets, Sergi Roberto na Nelson Semedo
Semedo=Portugal