Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #39,781
-tunakuulizia wewe pia ulietwambia lopetegue apewe muda, uko wapi?Wako wapi wale wapiga kelele waliokua wanatwambia timu haina mfungaji? Timu haina uwezo wa kufunga magoli?
-tunakuulizia wewe pia ulietwambia lopetegue apewe muda, uko wapi?
Dogo yupo poa sana, kuanzia mwanzo kabisa, sema Julen hakumwamini badala yake akawa anampoa Nacho nafasi badala ya dogo, ila Dogo sasa anapata nafasi na anaitendea haki kwa kweli, ana cover vizuri upande wake plus anasaidia pia kwenye mashambulizi.Yule beki 3 regullion sijui dogo anajituma sana ...jana ni moja ya watu waliocheza vizuri kwa nafasi yake ya beki
Mda hakupewa nahilo lilifahamika kwamba hatopewa. Ila msimamo wangu ulikua wazi kabisa tatizo la timu ni kocha bado mfumo wake umeshindwa kuadoptiwa na wachezaji, Huku nyie mkishikilia kwamba kuhama kwa CR7 ndio tatizo. Haya kuleni maneno yenu saivi.
Bila kumtaja bwana ako unawashwa sana daah
Madrid UEFA ndo home lazima wawike.
Ushakuja na sababu nyengine![]()
![]()
![]()
Kila mmoja anakuona chizi humu pole
Naweye mwerevu, Unaebadilisha hoja kila baada ya siku 3 Vipi huhitaji tena replacement ya Ronaldo?![]()
![]()
![]()
Kuna sehemu leo nimemtaja THE G.O.A.T?unampenda sana jamaa.
Nanukuu tu mie maneno yako







soon benzema anakuja barca usijalisoon benzema anakuja barca usijali
Goli alilolifunga Benzema jana ndio haja yetu, Pure skills nasio kuvurumisha mashuti tu na kutegea chini ya 6yard box.
Magoli ya kutegea 6yard ndio yaliyoofikisha madrid hapo ilipo.View attachment 926225



barca fan bana. Nenda tu jukwaa lenu humu utaumia sana.Unatakiwa uwe na heshima unapoizungumzia Madrid, Halafu eti unajita fan wa Madrid.
Jana timu zako zilichuana. View attachment 926267View attachment 926267View attachment 926267View attachment 926267