Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,792
Perez alikuwa akikwaruzana sana na Zizou kuhusu Assesio alitaka awe anacheza ili hata wastar wakihama yeye ndo awe chachu ya mafanikio lakini dogo msimu huu amedrop kiwango hata kufunga anakosa sana magoli. Kijana katuangusha sana. Na Perez kinachomsumbua ni kutokuwa na Star wa kihispaniola kwa muda Mrefu tangu Raul hakuna mtu ambaye ameweza kufanya mambo mazuriBale angeweza ila sasa jamaa ni kama chombo cha udongo ukikosea kukishika tu pwaa chini,sijui kwann mwepesi wa kuumia. Ulaya vipaji vipo tatizo wanacheza na media wanasahau kazi uwanjani
Hii kauli hope uliitoa walipokurupuka kumsajili james kisa alitamba sana WC ile. Nadhani ndo sababu ya mbappe kutopewa kipaumbele madrid wanamsoma kwanza
Perez alikuwa akikwaruzana sana na Zizou kuhusu Assesio alitaka awe anacheza ili hata wastar wakihama yeye ndo awe chachu ya mafanikio lakini dogo msimu huu amedrop kiwango hata kufunga anakosa sana magoli. Kijana katuangusha sana. Na Perez kinachomsumbua ni kutokuwa na Star wa kihispaniola kwa muda Mrefu tangu Raul hakuna mtu ambaye ameweza kufanya mambo mazuri
Ndicho kinachomsumbua Perez, anataka star wa kihispaniola tatizo vijana hawajitumi kabisa, nazani starehe zimewazidiaNa kuwa ma staa wa kihispania timu itabustika sana kibiashara ndani ya Spain.
Watampa Solar ili kuepuka kupigwa faini na Laliga
Kocha wa Valencia siyo Chaguo sahihiBinafsi sifikirii Solari kama ni mtu sahihi, Bora hata Guti. Nimeona fununu saivi zinazunguka kwa kocha wa Valecia.
Perez alikuwa akikwaruzana sana na Zizou kuhusu Assesio alitaka awe anacheza ili hata wastar wakihama yeye ndo awe chachu ya mafanikio lakini dogo msimu huu amedrop kiwango hata kufunga anakosa sana magoli. Kijana katuangusha sana. Na Perez kinachomsumbua ni kutokuwa na Star wa kihispaniola kwa muda Mrefu tangu Raul hakuna mtu ambaye ameweza kufanya mambo mazuri
Ndicho kinachomsumbua Perez, anataka star wa kihispaniola tatizo vijana hawajitumi kabisa, nazani starehe zimewazidia
Sio james tu, Kuna beki ya kushoto anaitwa Theo wametumia 20m wamerambwa washmtoa kwa mkopo, Kuna
Asier Illarramendi walipigwa zaidi ya 30 na kitu, Msimu huu wametumia zaidi ya 130 kwa usajili ambayo weye bado unaona hawajatumia.
Mbona taarifa zinasema kisa hasa ni bale na kwamba zidane alitaka mpiga bei ila Perez hakupenda jambo hilo.
Binafsi sifikirii Solari kama ni mtu sahihi, Bora hata Guti. Nimeona fununu saivi zinazunguka kwa kocha wa Valecia.
Kocha wa Valencia siyo Chaguo sahihi
Perez analazimisha lazima awe na Super Star wakiengereza kwenye timu kwa ajili ya kubost Biashara ndani U.K hilo pia nalo ni tatizo. Lakini ndio biashara.
Kumbe unaziamini fununu,natumaini pia utaamini za mou kurudishwa madrid
Siamini fununu, Ila mambo huanza na fununu. Sio kila fununu ni yakweli infact karibu 75% ni zauwongo.
Naziamini fununu asilimia 85% za ukweli ila wahusika huwa wanazipindisha na zinakuja onekana za uongo
Fununu hotoka kwenye magezati na mitandao ambao wao wapo kwenye kutafuta wateja wa magazeti yao. Hivi wewe anaamini kabisa kama Wenger ametakiwa kweli na Man Utd? Ac Milan? Real Madrid? Buyern Minich? wote hao katika kipindi cha miezi miwili habari zake zilizagaa.
Kwenye soka kila jambo linawezekana,cheki mou kila anapoenda anaharibu ila bado timu zinamsaka hivyo hata kwa wenger inawezekana tu
Nisingependa Mou arudi tena RMA atakuja kutuvuruga huyu mzee hua ana tabia ya ajabu sana ni bora Sorali aendelee tu lkn cio huyo mchonganyishiMedia ina nafasi kubwa kwenye mfumo wa maisha ya watu kila sehemu na hasa ulaya. Propaganda na uwongo wote huzambazwa kwa kupitia media. Mourinho ni Star, Na media ndizo zilizompaisha kwaiyo as long as bado anakubalika na media ataendelea kupata kazi.
Nisingependa Mou arudi tena RMA atakuja kutuvuruga huyu mzee hua ana tabia ya ajabu sana ni bora Sorali aendelee tu lkn cio huyo mchonganyishi