Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #39,581
achana nae uyo mkuu utajisumbua tu. hao ndio wanaotaka waone kanunuliwa Neymar kwa 300m wala hawajui wapi zinatoka.
Bei ni kubwa dirisha lirakuwepo sana tu ila, angalia timu nyingi zinaangalia zaidi wachezaji wadogo
Timu zinaangalia mfano unatoa euro 300M unamnunua Hazard hafu zitarudi kwa muda gani? Madrid ilimtaka sana Neymar lakini utoto alioufanya katika WC kilifanya board ipunguze makali ya kumwaniaHata hazard mdogo kumbe!naona Perez hajamkatia tamaa. Msiwe mnaongea msivyo elewa. Timu kubwa kupata kipaji ulichokilea ngumu sana barca wana bahati na Messi tu
RAIS wa Real Madrid, Florentino Perez ameonekana kushikilia mpango wa kumsajili supastaa wa Chelsea, Eden Hazard hivyo ameamua kumchunia kocha, Antonio Conte.
Kulikuwa na hofu kama Real Madrid wataamua kumchukua kocha, Conte kwennda kurithi mikoba ya Julen Lopetegui, basi jambo hilo linaweza kutibua kwenye mipango yao ya kumchukua Hazard.
Hazard na Conte wameripotiwa kuingia kwenye uhusiano mbaya mwishoni mwa msimu uliopita ambapo staa huyo alicheza chini ya kiwango na hivi karibuni alionenkana kusifu mipango ya kocha mpya huko Chelsea, Maurizio Sarri na kuponda ya mtangulizi wake. Kutokana na hilo, Florentino ameamua kumfungia milango Conte ili kuweka hai mipango ya kumchukua Hazard.
Mpango wa Real Madrid ni kumchukua Hazard kwenye dirisha la Januari na hilo lipo wazi, hivyo Conte acha aende kwingineko,” ilibainisha taarifa juu ya suala hilo.
Kwa sasa, Los Blancos ipo chini ya kocha Santiago Solari, akiwa kocha wa mpito baada ya Lopetegui kufunguliwa mlango wa kutokea kufuatia kipigo cha mabao 5-1 kutoka kwa Barcelona.
Conte anataka utawala kama walionao makocha wa EPL kwa Madrid hawezi kupewa alishindwa Mournho aje awe yeye. Mchezaji ambaye tunatakiwa kuuza ni Bale yeye kama Star wa timu ameshindwa kabisa kuisaidia timu, anacheza kawaida sanaAcha kukariri taarifa uchwara. Chelsea hawawezi muachia hazard kabisa kwenye Dirisha Dogo.
Na Conte Real tatizo lao lipo kwanza kwenye mshahara, Lapili Conte anataka madaraka ndani ya timu ikiwemo kuwa yeye ndio full controller wa Dressing asiingilewe, pamoja na kuwa sauti kwenye Usajili wa timu. Hapo ndipo wanapokosana.
Timu zinaangalia mfano unatoa euro 300M unamnunua Hazard hafu zitarudi kwa muda gani? Madrid ilimtaka sana Neymar lakini utoto alioufanya katika WC kilifanya board ipunguze makali ya kumwania
Timu zinaangalia mfano unatoa euro 300M unamnunua Hazard hafu zitarudi kwa muda gani? Madrid ilimtaka sana Neymar lakini utoto alioufanya katika WC kilifanya board ipunguze makali ya kumwania
Neymar hata kabla ya WC Perez alikua anasita kumchukua maana hana kiwango kikubwa kivile. Pamoja na kukuza vipaji bado usajili muhimu kipindi hiki na madrid haiwez epuka style ya usajili ghali kama ilivyozoeleka.
Acha kukariri taarifa uchwara. Chelsea hawawezi muachia hazard kabisa kwenye Dirisha Dogo.
Na Conte Real tatizo lao lipo kwanza kwenye mshahara, Lapili Conte anataka madaraka ndani ya timu ikiwemo kuwa yeye ndio full controller wa Dressing asiingilewe, pamoja na kuwa sauti kwenye Usajili wa timu. Hapo ndipo wanapokosana.
Neymar tatizo lake ni kujiangusha na kupenda kukaa sana na mpira, target katika goli hana sana, anataka sana kumuiga Messi anavyomiliki mpira ndo tatizo hapo. Hazard ni timu player ila kibiashara halipi sana, Timu za Spain zinapata mauzo mazuri kwa wachezaji wa America, ukiondoa CR7 na Beckham, ulaya haijaweza kuwa na wachezaji wa kuteka sokoNeymar hata kabla ya WC Perez alikua anasita kumchukua maana hana kiwango kikubwa kivile. Pamoja na kukuza vipaji bado usajili muhimu kipindi hiki na madrid haiwez epuka style ya usajili ghali kama ilivyozoeleka.
Mkuu hawa wanachukilia Mpira ulaya kama game ya Xbox tu, Changamoto zake hawazijui kabisa. Ndio hawa waliokua wakipiga kelele kama Juventus pesa waliomnunulia Ronaldo ishalipa baada ya kuona mauzo ya Jezi yake yamefika karibu million 75 kumbe hawajui kama Zile pesa zote wanapata Kampuni inayotengeneza jezi Juventus wenyewe waliambulia milion 6 tu.
Conte anataka utawala kama walionao makocha wa EPL kwa Madrid hawezi kupewa alishindwa Mournho aje awe yeye. Mchezaji ambaye tunatakiwa kuuza ni Bale yeye kama Star wa timu ameshindwa kabisa kuisaidia timu, anacheza kawaida sana
Ulaya mpira ni biashara unaweza ukawa na jina kubwa na uncheza vizuri lakini kibiashara haulipi na ndo maana wachezaji wengi wa Afrika mishahara yao huwa siyo mikubwa ingawa wanafanya mambo mazuri uwanjanMkuu hawa wanachukilia Mpira ulaya kama game ya Xbox tu, Changamoto zake hawazijui kabisa. Ndio hawa waliokua wakipiga kelele kama Juventus pesa waliomnunulia Ronaldo ishalipa baada ya kuona mauzo ya Jezi yake yamefika karibu million 75 kumbe hawajui kama Zile pesa zote wanapata Kampuni inayotengeneza jezi Juventus wenyewe waliambulia milion 6 tu.
Mda umebadilika huwezi kurupuka tu kajisajilia kama zamani wachezaji wamekua ghali sana, Unaweza ukijikuta miaka mitatu timu imejaa madeni kama hamjawa makini.
Watampa Solar ili kuepuka kupigwa faini na LaligaLaudrup nae ameikataa timu. Walitaka wampe mpaka mwisho wa msimu. Namuunga mkono, Self respect ni Muhimu. Kwanini wasimpe mkataba mkubwa kabisa ila kama hawamuamini vizuri nayeye kakataa. Jamaa anuelewa mpira vizuri kabisa.
Daah Ronaldo again aiseee wewe mtu huyu G.O.A.T unamuadmire sana
Neymar tatizo lake ni kujiangusha na kupenda kukaa sana na mpira, target katika goli hana sana, anataka sana kumuiga Messi anavyomiliki mpira ndo tatizo hapo. Hazard ni timu player ila kibiashara halipi sana, Timu za Spain zinapata mauzo mazuri kwa wachezaji wa America, ukiondoa CR7 na Beckham, ulaya haijaweza kuwa na wachezaji wa kuteka soko
Na akitajwa weye kama ulokunwa vile.