Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #39,241
kesho atakuwa kwenye show jirani dogo ana roho mbaya kama mkaanga sumuArthur Melo bado hajaiva kuchuana na akina Toni na Modric anabebwa na uwepo wa mess uwanjan. Subir kesho uone.
Arthur Melo bado hajaiva kuchuana na akina Toni na Modric anabebwa na uwepo wa mess uwanjan. Subir kesho uone.
Angalia tu usije ukamakataa, team yetu haipo poa sana ila huyo dogo ni mapema sana kumlingnisha na Luka ModricLabda Muandazi arthur melo apate dharura hasiwepo kwenye sherehe maana kama namuona babu luka maduara atakavyokuwa anavuta jezi ya mgawaji chakula
😀😀😀 tutakutana baada ya dogo kugawa chakula pale varandani nyinyi ndio ambao mmekariri mkubwa ndio anagawa chakula....subiri kuona muandazi kutoka porini gremioAngalia tu usije ukamakataa, team yetu haipo poa sana ila huyo dogo ni mapema sana kumlingnisha na Luka Modric
Hujamuona huyu dogo kazini. Umri usikuchanganye.Arthur Melo bado hajaiva kuchuana na akina Toni na Modric anabebwa na uwepo wa mess uwanjan. Subir kesho uone.