Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Na sisi ndo tunataka iwe hivyo, Conte aje apo madrid ili Hazard abaki darajani.
 
Madrid tatizo sio kocha tatizo ni siasa za mpira za rais wenu.. Ukitaka kuona angalia performance ya madrid uefa vs laliga.

Perez anafanya siasa kuuvunja mkataba wa kocha legally kwani objectives hatokuwa amefikisha na madrid wataendelea kuboronga laliga hadi kocha atakapo ondoka, lkn hawataweza ku risk uefa.

Politicball.
 
Mkuu hata msimu uliopita madrid ilikua moto UEFA kuliko la liga. Just sema tatizo ni Perez utaeleweka.

UEFA watarisk wakiendelea na mambo haya,maana kila hatua ndo ugumu wa mechi unaongezeka zaidi,hope amani itapatikana soon na timu kukaa sawa.

Naona hata zidane alishindwa kupelekeshwa,ila huyu kocha hadi huruma kisa madrid akahatarisha kibarua cha kule FA ya hispania daah
 
Mjilite tuu tuwapige el classico
 
majirani jiandaeni kisaikolojia maana babu luka maduara ameshajiandaa na jumapili yule kijana kutoka kijijini Gremio fundi cherehani arthur melo kama kawaida yake ndio atakuwa muandazi wa kugawa chakula cha msiba maana ana roho mbaya itakuwa yule mupe,yule mupe na yule muruke....atakuwa anafanya unyangindo mbele ya mademu zenu
 
Rais wa Real Madrid Florentino Perez anataka kumfukuza meneja wa timu Julen Lopetegui baada ya mashindano dhidi ya Viktoria Plzen siku ya jumanne lakini alishawishika kusubiri mpaka baada ya mechi ya mwisho wa juma na El Clasico. (Sport )
 
A lot of nonsense being said about Real Madrid atm, and fairly so for that comes with being the greatest and biggest club in history. 16 years a Madridista, I'd tell you for sure that this is just a transition period. We always bounce back, and with a bang.

Can't wait for el clasico. Hasta el final.
 
Arthur Melo bado hajaiva kuchuana na akina Toni na Modric anabebwa na uwepo wa mess uwanjan. Subir kesho uone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…