Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hapa ndio uliharibu kabisa post yako!!.... Yaani mechi zote hizo bila goli hadi mmevunja rekodi yenu ya ukame mrefu zaidi katika historia ya klabu alafu unasema tatizo sio forward zenu ila beki?? Hvi kwa magoli yote mnayokosa utalaumu beki zenu??

Kapitie magoli wanayofungwa Real Madrid ndio utafahamu hilo. Asilimia ya magoli mengi wanayofungwa Real Madrid wanafungwa kwa uzembe wa mabeki.
 

Wenzetu hawafahamu kabisa. Wao wanaamini ukosekanaji wa Ronaldo ndio matatizo ya yote haya.
 
sasa mbona una ongea yale yale kwamba wkt CR7 ana goal 4 tulikua na hali mbaya baada ya kuanza kufunga tuka rudi kwenye track, tuwe wakweli bila kufanya replcement ya uhakika ya Ronaldo tutapta tabu


Sasa kwani je kwani msimu umemaliza? mbona unaleta judgment ndo kwanza mechi 10 tu za msimu?
 

Mkuu mariano ni bench player, hajaletwa pale kama awe ndio direct replacement ya Ronaldo.
 
Hali ya timu yetu Kwa game kadhaa zilizopita ilkua hoi.

But, this is Uefa,

Naamini vijana watafanya kweli
 
Real Madrid are finally playing some good football after a long time.
 
Yuko wapi yule alieuliza Lucas Vazquez anafanya nini kwenye hii timu?
 
Karim Benzema's goal means that he's the fourth all-time top scorer in the UEFA Champions League history. 🔥

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…