Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,078
eti ofside
Lile ni goli 98% sema ndio hivyo ..ngoja tuone kama madrid watabadirika na kusawazisha
eti ofside
mrithi wa CR7Mariano ni K kabisa
Watoto wamenyimwa goli ya 3 kabisa nje nje
eti ofside
Wote tumeona Real Madrid goal cancelled by VAR humu.
Madrid kaunta saizi hawawezi, hakuna winga anayekimbiza wanamtegemea Marcelo matokeo yake Ramos anabaki na kazi ngumu anapitwa kama kasimama vileHT:Eneo la kati lipo vzr ila beki za kati zimepoteana...eneo la mbele hatupo makini au niseme tunakosa bahati yakuona nyavu zao...Ansensio anapooza mashambulizi kwa kiwango flan...hawa ni counter inatakiwa ili tutoke nyuma nakuibuka na ushindi...
Wote tumeona Real Madrid goal cancelled by VAR humu.
Lile goli la madrid sio goli ..asensio alikuwa amezidi muda kichwa kinapigwa mimi ni shabiki wa Madrid ila lile sio goli 100%
Lile goli la madrid sio goli ..asensio alikuwa amezidi muda kichwa kinapigwa mimi ni shabiki wa Madrid ila lile sio goli 100%
mkuu hakuna anae pinga ila kiukweli goli la Lev la 3 tatizo llikua wapi???Sawa, decision by VAR na kila mtu anakubaliana nayo. Lakini VAR hiyo hiyo tunapingana nayo ikiwa upande mwingine.
sahii kama anataka aangalie marudio lile sio goli tuache ushabiki
Mimi n shabiki wa madrid ila kiukwel leo utulivu sehem y umaliziaji haupo mtu anabaki na goli kipa anakosa goli ok ngoja tuone hiki kipind pengine mambo yatafanyikaKweli lile sio goli, lakini kwa upande mwingine ni goli, kwasababu ni Real Madrid.
mkuu hakuna anae pinga ila kiukweli goli la Lev la 3 tatizo llikua wapi???
Mimi n shabiki wa madrid ila kiukwel leo utulivu sehem y umaliziaji haupo mtu anabaki na goli kipa anakosa goli ok ngoja tuone hiki kipind pengine mambo yatafanyika