Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,514
- 23,701
HahaaaaHuu msako wa leo tunaopewa, hata kama una kipisi cha bangi kwenye msambwanda utakitoa.[emoji31]
Kuna usalama wana Blanco wenzangu kweli leo!!!
Tusubiri 2nd halfHuu msako wa leo tunaopewa, hata kama una kipisi cha bangi kwenye msambwanda utakitoa.[emoji31]
Kuna usalama wana Blanco wenzangu kweli leo!!!
Dah huyu jamaa kama kapewa ahadi ya kurithi kiti cha Rais wa Sevila CF, anachezea sifa kweli. Kama timu ya baba yake.Wakuu mpo naona Banega leo anawafundisha mpira...... Hapo bado mna atletico jumapili!!! Kazi mnayo
Hahaaaa wewe jamaa una maneno kweliDah huyu jamaa kama kapewa ahadi ya kurithi kiti cha Rais wa Sevila CF, anachezea sifa kweli. Kama timu ya baba yake.
Khaaaa [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ndio, kafunga mawili kaokoa moja.
Una maanisha 5 mkuu?Madrid leo anaweza akala mkono manake sevilla wanatiririka.
Kipindi cha pili wanazembea sana hawa SevillaChochea chochea sevilla waongezeni haoooo