Jamani haya matuzo yaendelee kutawanywa ili kila mmoja ashiriki wote wanafanya vizuri maana yake ukitaka goli kipa wa kudaka uefa chukua navas, ukiwa na team ya taifa chukua Thibaut, na ukiambiwa unda team ya haraka utamchukua david, ni Kama unaambiwa naunda kikosi bora majina mawili umepewa hazard na Salah kocha mzoefu atachukua hazard class permanent ,same kwa viungo chagua namba sita club/taifa akili ya kocha bora itamwambia kante, Ronaldo, Messi, varane, luka, Marcelo nafasi zao unquestionableBest goalkeeper in Europe : Keylor Navas
Best goalkeeper in the world: Thibaut Courtois
FIFPro XI goalkeeper: David De Gea
FIFA LOGIC
Mkuu ni nafuu hapo kwa De Gea unawezahata kumfikiria, hivi huyo Dani Alves anaotoa nin hapo, sikuwaelewa kabisa hapo hao wajamaa,hata kama waliogopa kuwa beki line nyote ingetawaliwa na kikosi cha Real Madrid kwa kumweka hapo Dani Carvajal wangeweka beki mwingine yoyote.., Sikuelewa hapo walipatwa na nini.THE FIFA WORLD 11!
Notably, The BEST Goalkeeper of the year Thibaut Courtois isn’t in the Worlds best 11
Laugh reacts only for David De Gea
Kweli kabisa, vijana wetu walituwakilisha vyema kabisa, hope watajitahidi tena msimu huu tuongeze uwakilishi...., #HalaMadridMadridistas well represented
Mkuu hivi ile kuchanja mbuga mlifika wapi.., ama bado safari inaendeleaHawa Espanyol wameniangusha sana ..nilitegemea leo Madrid hatachomoka ..ila wee don't care, sisi watoto wa Catalonia tunaendelea kuchanja mbuga.
#Messi_isKing
This is la liga. Basi peleka man utdwakuu hawa jamaa watawaua. Pakini tu basi.