Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,527
- 32,700
CR7 & Juventus 3 match No penalty,No goal-CR7 inabidi ajue italy sio spain ambapo wanatoa toa tu hovyo penalty itamchukua muda kuwa na goli huko juventus
wazee wa mbeleko usishangae sagio ramos musimu huu akaondoka na golden boot kwa magoli ya penalty
![]()
![]()
Hii n kweli kabisa mpaka sasa real Madrid tumeshapata penati tstu hii ina maana kama Rinaldo angekuwepo zote angepiga yeye. Nimemuona Jana mechi dhidi ya parma anarukarika tu, kufunga wanafunga wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
ana ruka ruka tuu....!Ronaldo hatapata tuzo
Katudharau hadi sasa anaonekana alikua anabebwa na Real na si yeye kuibeba real
Hii n kweli kabisa mpaka sasa real Madrid tumeshapata penati tstu hii ina maana kama Rinaldo angekuwepo zote angepiga yeye. Nimemuona Jana mechi dhidi ya parma anarukarika tu, kufunga wanafunga wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ujeuri ndio utammaliza na hata tuzo ya juzi kaikosa sababu kahama timu
Juve watanufaika kibiashara ila sio kwa services za Ronaldo uwanjani
Wee nawe tulia huna umiliki wa timu so mamlaka ya kuchagulia watu pa kushabikia huna.CR7 & Juventus 3 match No penalty,No goal-CR7 inabidi ajue italy sio spain ambapo wanatoa toa tu hovyo penalty itamchukua muda kuwa na goli huko juventus
Mliohamia Juventus kaeni huko huko.
Kabisa Mkuu, so far vijana wanajituma na wanatekeleza mipango ya Mwl vizuri tu, japokuwa bado ni mapema sababu hatujakutana na team yenye changamoto sana ila kwa hali ilivyo sasa mambo yanaenda sawa kabisa.Napenda the way tunavyo cheza...i hope tutakua wa moto sana bila kumtegemea mchezaji mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mwanzo tu, vijana wakiiva vyema inawezekana hizo hapo juu tukaziona ni ndogo, ninapenda tu build up ya team, mdogo mdogo mpaka nafasi ipatikane, japokuwa inatubid saa nyingine vijana walazimishe goal kwasababu kuna muda team pinzani zinaweza kupack bus then ikawa tabu kutoboa ukuta wao.., #HalaMadridESPN |Real Madrid C.F. broke their overall passing record with 798 successful passes against Leganes.![]()
![]()
Vinicius Jr screamer for Castilla against Atletico B![]()