MASHUKE ORIGINAL
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 328
- 607
Atletico walishatufunga 4-0 na ronaldo akiwa uwanjani, acheni ushaniki mandazi, huu no mpira una matokeo matatu, kuwin, kuloose or draw. Narudia tena msiwe kama mmeujua Mpira jana.A. Madrid wamewanyoosha
Hakika Ronaldo aliifanya team itishe
Team yote aliibeba mabegani mwake
Atletico walishatufunga 4-0 na ronaldo akiwa uwanjani, acheni ushaniki mandazi, huu no mpira una matokeo matatu, kuwin, kuloose or draw. Narudia tena msiwe kama mmeujua Mpira jana.
Alinifurahisha sana Diego CostaPale unapo kutana na mhuni zaidi yako View attachment 837444
Ronaldo angekuwepo wasingekuwa hivyo,,wamehuzunika sababu watu watasema ronaldo alikuwa anaibeba timujamaa hawa bwana!!. Yaani wakina Marcelo walivyonyong'onyea utasema wamepotezs bonge la kombe.
Atletico walishatufunga 4-0 na ronaldo akiwa uwanjani, acheni ushaniki mandazi, huu no mpira una matokeo matatu, kuwin, kuloose or draw. Narudia tena msiwe kama mmeujua Mpira jana.
Alinifurahisha sana Diego Costa
Ndio maana Mpaka leo namlaan Antonio conte
Obviously Without Ronaldo You are Nothing.... Hapa ndiyo unapojua Kama Zidane Ni mjanja alipoona upepo umebadilika tu kaamua kusepa. 😀😀
Nimescreenshoot hii post yako, muda ukifika tutakumbushana!Benzema is a World class player, he can hold the ball and he's everything to Real Madrid forward before Ronaldo was there. Kocha alitakiwa kumchezesha Asensio all 120 minutes sio kubahatisha. Mark my words, hii timu itawapiga Catalans nje ndani na hata tukikutana Champions League jiandae kwa majonzi. Nimeona kitu ambacho hujakiona
Umenena vyema kabisa mkuumkuu costa ni moja ya pure No.9 wachache waliobakia kwenye zama hizi wanaojua kazi ya nafasi zao wawapo uwanjani wengine ni kama CAVANI, LEWANDOWSKI, NA SUAREZI. namkubali sana costa hana skills na mambo mengi ila kufunga yupo njema tu.
kama tatizo sio forward mbona hawakufunga?Hapa mapundit wengi lakini hawajui tatizo lilikuwa wapi. Mkuu Salamander hapo juu kaelezea vizuri tu kwanini tumepoteza hii game. Magoli matatu tumefungwa kwasababu mabeki hawakuwa makini. Ramos as a captain anatakiwa awe anawapanga wenzake jinsi gani ya kulinda goli kuliko kujifanya mpiga penalties. We can't blame Bale or Asensio on how we conceded goals. Nakataa hii game tulifungwa kwasababu tatizo lilikuwa ni forwards. NO.
mkuu acha kupingana na uhalisia ambapo watu wanaona wazi kuwa kuna upungufu wa ufungaji na kazi hiyo alikuwa akiifanya vyema LEGEND WETU CR7...KWA ULICHOANDIKA HAPO NI SAWA NA KUSEMA "MESSI SIO ENGINE YA BARCELONA MAANA ATA BARCA NAYO IMEFUNGWA MARA KADHAA NAYEYE AKIWEPO UWANJANI"....WEWE UMEONGEA HAYO HAPO KWA KUWA TU KUNA MDAU AMEONGELEA PENGO LA RONALDO NA NAFIKIRI ALILENGA HASA KWENYE UFUNGAJI...Najua uligusia match hii sio???
View attachment 837477
VIPI MBONA HUZUNGUMZII NA HILI PIA AU TUSEME NDO KUJITOA KUMBUKUMBU???
View attachment 837478
Acha kuwa na fikra potofu maana ata huyo ronaldo ni binadamu pia hawezi kuwa kwenye form kila mechi hivyo hakuna cha kushangaa madrid ilipigwa nne nayeye akiwapo ndani na vipi kama timu nzima ilipoteana angewezaje kurecover hizo nne by himself???
Naomba unielewe kuwa hapa Si maanishi kuuzwa kwa ronaldo ni tatizo kwa real madrid...isipokuwa shida imekuja pale ambapo team haijatafuta mbadala wake na ilihali transfer fee euro105/= za ronaldo zimelipwa na juve isipokuwa clause yake bado na italipwa kwa installments na pia timu ikiwa haikusajili jina kubwa kipindi cha miaka mitatu hapo nyuma hivyo kuna transfer money ya kutosha pale bernabeu sasa kwanini tusisajili??? au ndo kusema perez sasa anarudisha pesa zake during his final years as madrid president and not planning to organize the team anymore??? ifahamike si rahisi kuchukua vikombe ukiwa na washamba kama asensio(si maanishi yeye sio mchezaji isipokuwa bado hafai kuwa straiker tegemezi wa kudrive team forward miweke sawa hapa asensio hamfikii ata dogo mwenzie wanamwita MBAPPE yupo PSG sasa kwanini akabidhiwe mikoba mizito pale REAL???)
Mkuu,
Tulitukanwa humu mpaka tukaamua kukaa kimya tuwaachie wenye timu waongee...kikowapi leo?!... tuliitwa fanboy na majina mengi ya dharau...Ukweli utabaki kuwa ukweli tu...
Sikatai Ronaldo kuondoka ila hakuna mbadala na hata kipiindi kile tulisema hakuna mbadala wa huyu muacheni acheze kwasabab yeye kuwepo tu uwanjani hesabu una goli...leo timu inaingia uwanjani hujui hata nani anauwezo wa kuokoa timu wakati wa hatari... mkishapigwa goli mnasubiri bahati nasibu.
Tutafute striker anayetisha kama Ronaldo ile kuwepo tu ni tishio tosha...
Real madrid sasa hivi ni kama celta vigo tuMkuu,
Tulitukanwa humu mpaka tukaamua kukaa kimya tuwaachie wenye timu waongee...kikowapi leo?!... tuliitwa fanboy na majina mengi ya dharau...Ukweli utabaki kuwa ukweli tu...
Sikatai Ronaldo kuondoka ila hakuna mbadala na hata kipiindi kile tulisema hakuna mbadala wa huyu muacheni acheze kwasabab yeye kuwepo tu uwanjani hesabu una goli...leo timu inaingia uwanjani hujui hata nani anauwezo wa kuokoa timu wakati wa hatari... mkishapigwa goli mnasubiri bahati nasibu.
Tutafute striker anayetisha kama Ronaldo ile kuwepo tu ni tishio tosha...
kama tatizo sio forward mbona hawakufunga?