OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Hala madirid
Nyie ni moja ya timu ninayoichukia sana kwa sababu mnaongoza kwa kuvuruga ratiba za timu nyingine..
Mnadai kwamba mkimtaka mtu lazima mumpate
Angalia mmefanya mpka kotwaa kaondoka chelsea.