Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #37,921
hahahaahhahahahha....yaan yule jamaa anazingua sana yule....sijui nani alishauri anunuliwe yule.Casilla na Luca Zidane wale wote ni wa kutia sokoni hata kwa laki na hamsini, naona wanatujazia bench tu pale.
Price Tag
Jipe mahope kwa wewe uliyenza kuingalia Realmadrid kuanzia 2009, kikosi nipo vizuri tunahitaji striker mmoja tuMadrid msimu huu mnashuka daraja
Madrid msimu huu mnashuka daraja