ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
Hahahahaaa Zizzou akiandika kitabu chake tunaweza kupata mengi,Ila kimsingi kumanage mastar ni ngumu sana,Muulize josee mourinho atakwambia,kuna time alkua anampga cr7 madongo kwamba yeye kamfundisha ronaldo original sio yeye...Inaonekana Cr7 ana nguvu ya aina fulani mpaka anaogopwa na kila mtu mfano liver wanajisifia kumfunika ronaldo uefa,madrista wanaogopa atakua kocha mchezajikila timu inatoaga legend mkuu wale wanaostaafu bila kutimuliwa wala kulazimishwa,zizzou aliondoka mwenyewe.
Kama ulimuona ile sku ya fainali utajua kuwa mwili unagoma kilico baki ni arrogance tuu. Na kutaka kuongezewa mshahara.acha hizo ronaldo sio tishio kwa timu. Kocha ajaye awe ngangari na mifumo yake ataweza ijenga madrid vizuri tu. Mipira ya bongo bana.
Kama ulimuona ile sku ya fainali utajua kuwa mwili unagoma kilico baki ni arrogance tuu. Na kutaka kuongezewa mshahara.
Zidane kaondoka kocha ajaye apewe nafasi ikiwemo ya kumuondoa. Ku mmanaje Ronaldo si kila mtu ana weza
Hahahahaaa Zizzou akiandika kitabu chake tunaweza kupata mengi,Ila kimsingi kumanage mastar ni ngumu sana,Muulize josee mourinho atakwambia,kuna time alkua anampga cr7 madongo kwamba yeye kamfundisha ronaldo original sio yeye...
Zizou kilichombeba pale ni profile lake kama mchezaji na ule ukimya wake tu
Unapo mpenda Ronaldo kubali kuwa na ku mmeneji ni ngum kocha alo weza zaidi.ni Zidane tuu naye kwa sabab ya CV yake.as a player.Mpira huo unagoma sometimes,muongeza mkataba ndo mwenye maamuzi yote daima boss huwa hapangiwi,mnamlaumu ronaldo bure. So ile gemu mlitaka ajitoe mwenyewe nje kufurahisha watu kuwa mpira umegoma?kisa hakufunga? Tatizo mnambebesha jamaa mizigo mikubwa na akianza onyesha ubinasi mnamlaumu. Timu ya wote ile bana.
Hahahaa cr7 anaweza kupewa mkataba kwa sababu za kibiashara nina uhakika hawategemei sana maajabu yake uwanjani kwa sasa.Hivi mou nae wa kumtolea mfano aiseee huoni anavyowavuruga akina martial wenye viwango vyao,mou kwa madongo mbona kila mmoja anamfahamu. Kama ronaldo ni mzigo basi ni kazi ya kocha mwerevu kuenda nae sambamba. Mwangalie pep ukimchosha hana cha madongo ni kimya kimya tu utakaa kando mwenyewe
Unapo mpenda Ronaldo kubali kuwa na ku mmeneji ni ngum kocha alo weza zaidi.ni Zidane tuu naye kwa sabab ya CV yake.as a player.
Hivi pochettino ana anzaje kumhandle Ro aldo?
Halaf eti anataka aongezewe mshahara noo noo he gotta go
Hahahaa cr7 anaweza kupewa mkataba kwa sababu za kibiashara nina uhakika hawategemei sana maajabu yake uwanjani kwa sasa.
Messi anaibeba timu bado ana miaka kama mi 3 ya kuwa form zaidi hakuna shabiki ambaye anataka aondokeHahahah as if u own da team. Let perez manage his career over there. Pia kumbuka ronaldo hajacheza chini ya zidane pekee kuna sir fergie pia.
Tatizo hupend presha ndo maana unaogopa msimu ujao mtafungwa sana bila kufunga yelewiiii,usajili bado,iceman ungekua shabiki wa barca saiv ungeshaanza mpigia kampen messi asepe kisa hakuna kocha wa kummeneji
Messi anaibeba timu bado ana miaka kama mi 3 ya kuwa form zaidi hakuna shabiki ambaye anataka aondoke
Tunako elekea itabidi timu nzima iwe ina mbeba Ronaldo, asitake kuondoka kama Wenger ajifunze kwa Zidane. Itafika time atakuwa liability kwenye klabu.
Tatizo lako umeijua Realmadrid Jana fuatilia vizuri miaka ya mwanzo Cr7 alivyokuwa anasakamwa hadi akataka kuondoka, Figo Zizou walikuwa vivyo hivyoKila mmoja anataka aondoke why yeye?sijaona uzito wake. Bale alisakamwa weee mpaka akaiona madrid chungu ila kufunga mabao ya mwishon mwishon saiv kapumzika maneno maneno ya kukoseshwa raha.
Kisingizio cha kocha kaondoka kisa timu ina wachezaji wengi miaka 30 hakina mashiko
Unasema Mess haogopwi kamuulize Ibrahimuvic alivyokuwa Barca 2009/2010, Mess na Guardiola walimfitini hadi kaondoka, baada ya kufariki kocha wa Barca 2012, Mess alishinikiza akaja kocha anayemtaka kutoka Argentina hivi acheni ushabiki maandaziZidane kaondoka kama kocha mwenye kutaka uhuru zaidi na si vinginevyo. Maana imekua visingizio mara kaogopa timua mastaa mara hivi. Hebu nitajie mchezaji mwenye mafanikio kama ronaldo aliyetimuliwa kwa style ya wenger
Messi anaibeba timu kwa ushirikiano wa wachezaji wenzie na si kuogopwa na kocha
Daaah! Jutahidi basi tuishabikie Madrid kuliko kumshabikia Ronaldo he is a legend lakin kuna sku ata isha kabsa itakuwa mzigo kwa klabu zaidi kuliko faidaZidane kaondoka kama kocha mwenye kutaka uhuru zaidi na si vinginevyo. Maana imekua visingizio mara kaogopa timua mastaa mara hivi. Hebu nitajie mchezaji mwenye mafanikio kama ronaldo aliyetimuliwa kwa style ya wenger
Messi anaibeba timu kwa ushirikiano wa wachezaji wenzie na si kuogopwa na kocha
Tatizo lako umeijua Realmadrid Jana fuatilia vizuri miaka ya mwanzo Cr7 alivyokuwa anasakamwa hadi akataka kuondoka, Figo Zizou walikuwa vivyo hivyo
Daaah! Jutahidi basi tuishabikie Madrid kuliko kumshabikia Ronaldo he is a legend lakin kuna sku ata isha kabsa itakuwa mzigo kwa klabu zaidi kuliko faida
Una understimate nguvu ya Messi pale Barca
Unasema Mess haogopwi kamuulize Ibrahimuvic alivyokuwa Barca 2009/2010, Mess na Guardiola walimfitini hadi kaondoka, baada ya kufariki kocha wa Barca 2012, Mess alishinikiza akaja kocha anayemtaka kutoka Argentina hivi acheni ushabiki maandazi
Zidane kachoka kupelekeshwa na kuchaguliwa kila kitu na prezda
Ni busara ya vijiweni yakiishia vijiweni tu. Hakuna aliyempangia Zidane chochote, ni utashi wake mwenyewe. Subiri msimu ukianza utamuona klabuni akiwa na role nyingine tho not formal.
Ni busara ya vijiweni tukajadili jukwaan kunogesha ushabiki kuliko kuacha uzi ukidoda kama hakuna mashabiki