Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #37,541
Zidane: "It's natural tiredness. The day to day is over for me, I think it's time. I'm not tired of training.”
Poa mkuu lkn jamaa nadhani kasoma upepo kuwa, wachezaji wake wengi washachoka pia umri kama CR7 ndio maana kaamua kuachaKweli mkuu JM hafai naona tutadidimia zaidi next season
kweli broo yani yote kwa yote kusitokee na mtikisiko tusije tukapitia kipindi kigumu.Hii inawezekana kuna wachezaji usiowategemea wakaondoka hii summer.
Yes by 2020 90% of tge squad will be 30 yrs old.Poa mkuu lkn jamaa nadhani kasoma upepo kuwa, wachezaji wake wengi washachoka pia umri kama CR7 ndio maana kaamua kuacha
Lkn watani jamaa kawatoa sana miaka hii mitatu. Kama sisi kipindi kile wakati tupo na GurdiolaYes by 2020 90% of tge squad will be 30 yrs old.
Why bother leave on a high let the other man establish a new team
Poa mkuu lkn jamaa nadhani kasoma upepo kuwa, wachezaji wake wengi washachoka pia umeweri kama CR7 ndio maana kaamua kuacha
Daaah!Lkn watani jamaa kawatoa sana miaka hii mitatu. Kama sisi kipindi kile wakati tupo na Gurdiola
Nilikuwa napenda Ramos anavo muitaZidane leaves the press conference room and Real Madrid. There are no words that can give you your due. Thank you mister we wish you as much happiness as you brought us Madridistas. [HASHTAG]#GraciasZidane[/HASHTAG]
![]()
I think Ronaldo also should do the same
Leave with great Respect
Yeah kafanya la maanaRonaldo, Benzema, Borja Mayoral wote. Hata Zidane analijua hilo, ndio maana akaamua kujiweka pembeni.