Madrid kawatoa mabingwa wa Ufaransa,mabingwa wa Italia na mabingwa wa Ujerumani!timu zote mabingwa katika nchi zao zimeshatoka!!!!!.......and still its going to be Champions League Final
Madrid kawatoa mabingwa wa Ufaransa,mabingwa wa Italia na mabingwa wa Bayern!timu zote mabingwa katika nchi zao zimeshatoka!!!!!.......and still its going to be Champions League Final
Hata wangekuwepo tungepiga tu, Bayern ni wetu, zizu anajua kucheza tokana na match, na sisi carvahal na isco hawajacheza wangecheza tempo ya game ingekua tofauti kabisa.
hili suala Cristiano Ronaldo kutokufunga mechi 2 zote za nusu fainali si habari njema kwa timu itakayoingia Fainal na Madrid!!huyu mnyama ataibukia huko akijua ndio nafasi yake ya mwisho kumfunika Messi forever kwa ballon d'or