T Tissaphernes JF-Expert Member Joined Mar 27, 2018 Posts 2,902 Reaction score 3,566 May 1, 2018 #36,661 Tuwaongeze jingine ili tuwe safe zaidi, vinginevyo............et
C Cesar Caspar JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,706 Reaction score 6,373 May 1, 2018 #36,662 roservelt said: Naona modric anapiga double work Click to expand... Modric anatumika sana, ninadhan Zidane anataka kumwingiza Nacho ili ampunguzie majukum.., jamaa anajua sana kwa kweli!!
roservelt said: Naona modric anapiga double work Click to expand... Modric anatumika sana, ninadhan Zidane anataka kumwingiza Nacho ili ampunguzie majukum.., jamaa anajua sana kwa kweli!!
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,315 Reaction score 22,236 May 1, 2018 #36,663 Sipendi tunavyopoteza possession kwenye third part. Lakini we'll beat them kwasababu wana papara ya kushambulia kitu kinachowafanya wafunguke sana
Sipendi tunavyopoteza possession kwenye third part. Lakini we'll beat them kwasababu wana papara ya kushambulia kitu kinachowafanya wafunguke sana
Namuhi JF-Expert Member Joined May 28, 2016 Posts 1,068 Reaction score 1,103 May 1, 2018 #36,664 Ngoja nione nishuhudie kipindi cha pili kitakavyokuwa..Ila sina shaka kuhusu kuwaondoa hawa majamaa
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,351 Reaction score 38,941 May 1, 2018 #36,665 Msali sana. Otherwise mtalia
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 May 1, 2018 #36,666 Clear penalty
C Cesar Caspar JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,706 Reaction score 6,373 May 1, 2018 #36,667 PAGAN said: Sipendi tunavyopoteza possession kwenye third part. Lakini we'll beat them kwasababu wana papara ya kushambulia kitu kinachowafanya wafunguke sana Click to expand... Team inabaki nyuma sana ndio maana kidogo tunapoteza mipira mingi, Modric akirudi pale kati flow ya game itakuwa ni hatari.
PAGAN said: Sipendi tunavyopoteza possession kwenye third part. Lakini we'll beat them kwasababu wana papara ya kushambulia kitu kinachowafanya wafunguke sana Click to expand... Team inabaki nyuma sana ndio maana kidogo tunapoteza mipira mingi, Modric akirudi pale kati flow ya game itakuwa ni hatari.
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,351 Reaction score 38,941 May 1, 2018 #36,668 Hii ni bundesliga
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 May 1, 2018 #36,669 Huyu jamaa madrid damu
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,351 Reaction score 38,941 May 1, 2018 #36,670 Nawapenda Bayern Munich kwa sababu wanajua kutengeneza nafasi nyingi za kufunga actually sana uwezo wa kushinda hii game. Let's checks second half
Nawapenda Bayern Munich kwa sababu wanajua kutengeneza nafasi nyingi za kufunga actually sana uwezo wa kushinda hii game. Let's checks second half
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,351 Reaction score 38,941 May 1, 2018 #36,671 Ooooooooohhhhh
joefrancy JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 792 Reaction score 550 May 1, 2018 #36,672 2nd Goal here we go
ignatus peter JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 365 Reaction score 519 May 1, 2018 #36,673 Waterloo said: Nawapenda Bayern Munich kwa sababu wanajua kutengeneza nafasi nyingi za kufunga actually sana uwezo wa kushinda hii game. Let's checks second half Click to expand... Naina Bayern ikielekea Kiev kwa utulivu kabisa....ikiwaacha Madrid wakijilaumu kwann CR7 hajafunga na kuwabeba tenaa mgongoni!
Waterloo said: Nawapenda Bayern Munich kwa sababu wanajua kutengeneza nafasi nyingi za kufunga actually sana uwezo wa kushinda hii game. Let's checks second half Click to expand... Naina Bayern ikielekea Kiev kwa utulivu kabisa....ikiwaacha Madrid wakijilaumu kwann CR7 hajafunga na kuwabeba tenaa mgongoni!
N nobodylikedme JF-Expert Member Joined Apr 5, 2018 Posts 741 Reaction score 769 May 1, 2018 #36,674 Yameshajitoa yenyewe yame baha.
joefrancy JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 792 Reaction score 550 May 1, 2018 #36,675 ignatus peter said: Naina Bayern ikielekea Kiev kwa utulivu kabisa....ikiwaacha Madrid wakijilaumu kwann CR7 hajafunga na kuwabeba tenaa mgongoni! Click to expand... Goal lapili bado una amini Bayern atatoboa akiongeza sisi tu naweka msikariri HaLa Madrid
ignatus peter said: Naina Bayern ikielekea Kiev kwa utulivu kabisa....ikiwaacha Madrid wakijilaumu kwann CR7 hajafunga na kuwabeba tenaa mgongoni! Click to expand... Goal lapili bado una amini Bayern atatoboa akiongeza sisi tu naweka msikariri HaLa Madrid
ignatus peter JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 365 Reaction score 519 May 1, 2018 #36,676 joefrancy said: Goal lapili bado una amini Bayern atatoboa akiongeza sisi tu naweka msikariri HaLa Madrid Click to expand... Ahahaha.... Team Barca tunaumia sana kwa haya matokeo yanayoendelea kwa kweeli
joefrancy said: Goal lapili bado una amini Bayern atatoboa akiongeza sisi tu naweka msikariri HaLa Madrid Click to expand... Ahahaha.... Team Barca tunaumia sana kwa haya matokeo yanayoendelea kwa kweeli
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,849 Reaction score 3,066 May 1, 2018 #36,677 Wakuu hv app nzuri ya kuangalia mpira ni IPI? maana mob dro haipakuliki
ignatus peter JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 365 Reaction score 519 May 1, 2018 #36,678 joefrancy said: Goal lapili bado una amini Bayern atatoboa akiongeza sisi tu naweka msikariri HaLa Madrid Click to expand... Hii game bado mbiiichi sana....Madrid nao beki hawana kabisaaaah
joefrancy said: Goal lapili bado una amini Bayern atatoboa akiongeza sisi tu naweka msikariri HaLa Madrid Click to expand... Hii game bado mbiiichi sana....Madrid nao beki hawana kabisaaaah
K kikuna JF-Expert Member Joined May 26, 2015 Posts 2,572 Reaction score 2,813 May 1, 2018 #36,679 Nyie vilaza Madrid game bado hii....2 kwa 2 mpka sasa.....hola bayn
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,315 Reaction score 22,236 May 1, 2018 #36,680 Dakika inakwenda ya 70, utulivu unahitajika pale nyuma. Bayern sasa wanatumia uhuni .