Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Wakuu,

Kiukweli mm ni madrid fan, Damu Damu

Ila kiuhalisia, Bila kutanguliza mahaba mbele.

HII GAME YA LEO, MADRID TUMEFUZU KWA MBELEKO YA MAREFA.

SIJAFURAHISHWA KABISA NA KILICHOAMULIWA NA MAREFA, IJAPOKUA KIMELETA POSITIVE IMPACT KWETU.

KIKUBWA NASHKURU MUNGU,

TUME QUALIFY FOR SEMI-FINAL

Honestly;
**PENALT KICK HAIKUAPATIKANA HALALI***
 
Wakuu,

Kiukweli mm ni madrid fan, Damu Damu

Ila kiuhalisia, Bila kutanguliza mahaba mbele.

HII GAME YA LEO, MADRID AMEFUZU KWA MBELEKO YA MAREFA.

****PENALT KICK HAIKUA HALALI****
Hata huo ubingwa mkiuchukua tayari umeshaingia doa!

Mimi na uhakika msingekosa goli extra time sababu juve walikuwa tayari wameshachoka mngewatoa tu.

Lakini sasa hivi dunia inajua refa ndio kawatoa juve pyeeeee!!! Kaniudhi sana.
 
Ila lugha chafu sio nzuri wakuu humu tupo kujadiliana na kupata burudani ila kibaya zaidi matumizi ya lugha za ubaguzi wa kijinsia,kwakweli haijakaa vizuri .......soka ni mchezo wa watu wote hauangalii jinsia sasa wewe unayemuona mwanamke hafai kushabikia soka watu wenye busara watakushangaa sana.....


Amani iwe nanyi

HONGERA REAL MADRID KWA KUVUKA HATUA HII.
 
Iwapo refa angeacha upendeleo kadi nyekundu ingeenda kwa beki aliemuwekea mguu Lucas na Buffon kwa kutusi.
Ila kwa kua refa katumia ubinadamu katoa kadi moja tu.
 
Penati halali tatizo zenu Muda ndio unaotoa halali wa penati.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…