Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Bado chance ipo, Madrid fans msikate tamaa. Goli moja tu, sema hawa waitaliano wana ngome ya "babeli".
 
Humu hakuna wanawake. Wenzio wako bize vitandani wanabembeleza wame zao.
Mwanamke gani usiku kujazana kupiga soga kwenye kundi la wanaume.
Taratibu wakuu, aliewafunga ni Mandzukic.

Msimalizie hasira zenu kwa huyu dada.

 
Narudia tena kuweni makini...

Hii aibu yenu nyie itakuwa ni kubwa kuliko hata ya Jana.

Sababu kwanza mtakuwa mmepigiwa nyumbani.

Yaani hii itawaletea haueni kubwa sana mahasimu wenu hasa mashabiki
 
Hako ka linamo cjuh kanatafuta nn
Wanaume wa dar tushajiongeza semaaa tunamchet kwanza


We kaache. Ngoja masela wakapige pump kwenye uchochoro.
Janamke gani usiku wenzie wote wametulia vyumbani na wame zao. Yeye pwakupwaku huku.
Sijui hanaga mchizi hata wa kuzugia masikini. Dah!!!!!
 
msiqe na shaka japo si shabikicwa madrid naiona ikifuzu hatua hii.

kutakua na red card na mchezo utaishia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…